GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe ndio the king mwenyewe ivae tu waziri ni nani kwako mpaka akupangie nguo za kuvaa?Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.
Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.
Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?
Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
Uende na passport tuchunguze uraia wako 🤣 🤣 🤣 🤣Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.
Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.
Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?
Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
-Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.
Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.
Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?
Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
ajabu wakati mimi nilinunua hukohuko misri jezi za al ahlyNina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.
Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.
Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?
Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
Tunapoelekea hii Serikali ya CCM itatupangia hadi chupi za kuvaa kwenye mechiNina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.
Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.
Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?
Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
Vaa tu chipi lako lenye nembo ya mamelodTunapoelekea hii Serikali ya CCM itatupangia hadi chupi za kuvaa kwenye mechi
[emoji16] dahPopoma wee, toka pepoo!
AahaaaFT. Yanga 3-Mamelodi 1.
Siku hiyo mtatafuta pa kuficha jezi zenu za mitumba za mamelodi mnazonunulia karume shilingi elfu tatu tatu.
Wewe Popoma acha kutishia watu nyau hapa.Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni.
Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC.
Uzalendo unaishia katika Timu ya Taifa tu huku katika Vilabu Kudadadeki zenu na PhD's zenu tusipangiane namna ya Kushangilia au nani wa Kumshangilia sawa?
Mamelodi Sundowns FC 4 na Fungulia Mbwa FC 0. Tafadhali elewa maana ya neno FUNGULIA MBWA 30,000.
Yaani nimecheka mpaka basi Mkuu.Tunapoelekea hii Serikali ya CCM itatupangia hadi chupi za kuvaa kwenye mechi