GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akikua ataacha"Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe tunataka kuupeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Tutatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza Uwanja wa ugenini" Ally Kamwe
Chanzo: Young Africans Sports Club
Mbona Timu yako ikiwa inakaribia Kucheza / Kukutana na Giants wa Afrika huwa hauji na hizi Tambo zako Uchwara?
Wakati mna ipamba Mamelody na kununua jezi Ally kamwe si aliwaonya mkawa mna kaza fuvu, Matokeo yake baada ya mechi zote mbili mkawa wadogo kama piriton.Akikua ataacha
Eti bado hawaogopiWakati mna ipamba Mamelody na kununua jezi Ally kamwe si aliwaonya mkawa mna kaza fuvu, Matokeo yake baada ya mechi zote mbili mkawa wadogo kama piriton.
Kwasasa Yanga Haina mkubwa apa Afrika ila wapo wakubwa wenzake ambao ni kati ya timu 3/4.
Mipango ya Yanga nikutawala Ligi ya mabingwa kama anavyo itawala NBC.
Ni swala la muda tu.
Na wewe nae kama sigara kali unawashwa mbele na nyumaEti bado hawaogopi
NakaziaWakati mna ipamba Mamelody na kununua jezi Ally kamwe si aliwaonya mkawa mna kaza fuvu, Matokeo yake baada ya mechi zote mbili mkawa wadogo kama piriton.
Kwasasa Yanga Haina mkubwa apa Afrika ila wapo wakubwa wenzake ambao ni kati ya timu 3/4.
Mipango ya Yanga nikutawala Ligi ya mabingwa kama anavyo itawala NBC.
Ni swala la muda tu.
Duu unatumia matusi ya zamani bora hata hili la shati lako ama android yako, hahahaaNa wewe nae kama sigara kali unawashwa mbele na nyuma