Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Habari za usiku huu wapendwa katika Bwana Natanguliza shukrani zangu za dhati Kwa Mpendwa wetu Aliyetutoka Mh. William Benjamin Mkapa pia Umomi R.I.P🙏🙏
Baada ya salamu hizo niingie sasa kwenye kufoka😅🤣
Nipo maeneo ya mjini Mida kama ya saa 11 jioni nimeskilizia tu kushangaa magorofa, mara paap kuna jamaa akawa amekaribia mbele yangu ananipa salaam hapa na pale ghafla kaanzisha story wakati huo namtazama tu ata simuelewi.
Mara ooh sijui umeona mazishi mara huku Mkoani hakuna pesa na vingi vingi tu naona anaongea ongea🤔. Kitu alichonifanya nikawa serious ni muda aliponiomba simu kama nina salio na sio sms kwamba aongee na ndugu yake yeye ana namba tu kwenye kikaratasi.
Nikamwambia sina salio na nadaiwa nipige tafu, "ooh skia nina jamaa yangu ana simu ndogo lakini haina maiki ila yeye tunaweza kuweka salio kwenye laini akakununulia wewe kifurushi". Wakati huo anaongea mimi najisemea sijui nimpige ngumi 🤣😅 ananichanganyia habari huyu🤪 ila nikaona ngoja nitokomee zangu tu maana nilikuwa na mpango wa kutoka pale saa12 kamili ila nikaairisha tu.
Sasa ni hivi yani tuonane mjini na ghafla tu from no where nikukabidhi tu simu au mali yangu unitapeli never?🤦🤪🏃🏃