Kesi ya Lisu na ya Mandela ipi kubwa???Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.
Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni ushahidi tosha kuwa kazi ipo,tuseme Tundu aliteleza na alipoteleza alikuwa kwenye mtelezo.
Ameongea maneno mazito ya kusisimua na kufikirisha sana na kujiuliza .Je ataweza au wataweza ? Kukinukisha kufanya uasi dhidi ya Serikali. sio kesi rahisi haswa Serikali ikiamka mapemba kabla uasi huo hauja shika kasi na kuichafua nchi.
Sasa hawa mawakala wanaozuka kila shehemu hata kutoka nchi za nje ,hapa napo pana neno ! Ni wazi walikuwa wameshajiandaa ikiwa A tufanye B nayo ndio haya tunayoyaona toka hawa tulionao ambao walikuwa wamejificha sas tunaona. Jambo la mwanzo kufeli ni kufeli kwa viongozi wa dini ambao ndio wamwanzo kuvaa shanga na kulicheza twimbili la Tundu makanisani na kwenye mitandao, sasa hivi wote wamezima.
Ushauri ni kukaa na Serikali mkazungumza nayo (Viongozi waChadema mjipange na muende Ikulu) na kusio kushindana na Kesi inayomkabili Lisu na kujifanya hamjui uhatari wake na zaidi pale mnaowatuma au kujituma kutoa amri ...Serikali imuachie Tundu mara moja.... hilo ni tamko baya sana na ndio linalompoza mwenzenu ,upande wangu kila anaetamka hivyo ndie adui nambari one wa Lisu.
Kwanza kesi za namna hii zinakula tarehe na mwisho wake ni gerezani badala ya kitanzi umevuka kitanzi unaswekwa Jela ,tuseme hakuna ushadi lakini matamko yanamtia mtu gerezani.
Tumieni hekima na busara kumuokoa mwenzenu/mwenzetu WaTanzania tunajuana ,achaneni na wachochezi waliopo nje au ndani wanaojaza mawakala kwa madai ya kumtetea kwa kutumia mahesabu ya probability .
Saa100Ninachojuwa Kuna mtu atakufa muda sio mrefu
Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.
Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni ushahidi tosha kuwa kazi ipo,tuseme Tundu aliteleza na alipoteleza alikuwa kwenye mtelezo.
Ameongea maneno mazito ya kusisimua na kufikirisha sana na kujiuliza .Je ataweza au wataweza ? Kukinukisha kufanya uasi dhidi ya Serikali. sio kesi rahisi haswa Serikali ikiamka mapemba kabla uasi huo hauja shika kasi na kuichafua nchi.
Sasa hawa mawakala wanaozuka kila shehemu hata kutoka nchi za nje ,hapa napo pana neno ! Ni wazi walikuwa wameshajiandaa ikiwa A tufanye B nayo ndio haya tunayoyaona toka hawa tulionao ambao walikuwa wamejificha sas tunaona. Jambo la mwanzo kufeli ni kufeli kwa viongozi wa dini ambao ndio wamwanzo kuvaa shanga na kulicheza twimbili la Tundu makanisani na kwenye mitandao, sasa hivi wote wamezima.
Ushauri ni kukaa na Serikali mkazungumza nayo (Viongozi waChadema mjipange na muende Ikulu) na kusio kushindana na Kesi inayomkabili Lisu na kujifanya hamjui uhatari wake na zaidi pale mnaowatuma au kujituma kutoa amri ...Serikali imuachie Tundu mara moja.... hilo ni tamko baya sana na ndio linalompoza mwenzenu ,upande wangu kila anaetamka hivyo ndie adui nambari one wa Lisu.
Kwanza kesi za namna hii zinakula tarehe na mwisho wake ni gerezani badala ya kitanzi umevuka kitanzi unaswekwa Jela ,tuseme hakuna ushadi lakini matamko yanamtia mtu gerezani.
Tumieni hekima na busara kumuokoa mwenzenu/mwenzetu WaTanzania tunajuana ,achaneni na wachochezi waliopo nje au ndani wanaojaza mawakala kwa madai ya kumtetea kwa kutumia mahesabu ya probability .
Umeandika kiutu uzima! Hata Jana Lissu matendo yake mahakamani yalionesha hofu aliyonayo. Hakuwa na utulivu, wanaoelewa waliangua machozi, kama Lema et al. Ngoja niishie hapa nisije pata ngeu kutoka kwa Erythrocyte au Mshana Jr au Chakaza au brazaj au Retired au …. NamuogopaManeno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.
Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni ushahidi tosha kuwa kazi ipo,tuseme Tundu aliteleza na alipoteleza alikuwa kwenye mtelezo.
Ameongea maneno mazito ya kusisimua na kufikirisha sana na kujiuliza .Je ataweza au wataweza ? Kukinukisha kufanya uasi dhidi ya Serikali. sio kesi rahisi haswa Serikali ikiamka mapemba kabla uasi huo hauja shika kasi na kuichafua nchi.
Sasa hawa mawakala wanaozuka kila shehemu hata kutoka nchi za nje ,hapa napo pana neno ! Ni wazi walikuwa wameshajiandaa ikiwa A tufanye B nayo ndio haya tunayoyaona toka hawa tulionao ambao walikuwa wamejificha sas tunaona. Jambo la mwanzo kufeli ni kufeli kwa viongozi wa dini ambao ndio wamwanzo kuvaa shanga na kulicheza twimbili la Tundu makanisani na kwenye mitandao, sasa hivi wote wamezima.
Ushauri ni kukaa na Serikali mkazungumza nayo (Viongozi waChadema mjipange na muende Ikulu) na kusio kushindana na Kesi inayomkabili Lisu na kujifanya hamjui uhatari wake na zaidi pale mnaowatuma au kujituma kutoa amri ...Serikali imuachie Tundu mara moja.... hilo ni tamko baya sana na ndio linalompoza mwenzenu ,upande wangu kila anaetamka hivyo ndie adui nambari one wa Lisu.
Kwanza kesi za namna hii zinakula tarehe na mwisho wake ni gerezani badala ya kitanzi umevuka kitanzi unaswekwa Jela ,tuseme hakuna ushadi lakini matamko yanamtia mtu gerezani.
Tumieni hekima na busara kumuokoa mwenzenu/mwenzetu WaTanzania tunajuana ,achaneni na wachochezi waliopo nje au ndani wanaojaza mawakala kwa madai ya kumtetea kwa kutumia mahesabu ya probability .
britanicca kasema kwamba palapanda Italian kabla ya mwezi JulyNinachojuwa Kuna mtu atakufa muda sio mrefu
Tunajua mmemkamata ili msipate upinzani wake ila hamtamweza hata siku moja.Ngoja chadema waje wakupe muongozo 😂
Mana umetingisha meza yenye vinywaji vyao vya thamani sana 😂
Hakunaga kesi ndogo mrembo Bulamba hata ukijinyea kwa makusudi barabarani hiyo nayo ni kesi kubwa.Kesi ya Lisu na ya Mandela ipi kubwa???
Unajidanganya, bado huelewi thamani ya amani na utulivu na gharama za kuilinda, yule kichaa ataozea ndani kama MandelaKama ujui kusoma arama za nyakati basi jifunze uko serikalini washavulugana na yote ni tamaa ya pesa kuna watu inaonekana wameleta uboss kwenye pesa document nyeti za serikali zinavuja tu so tengemea mpasuko mkubwa sana ni suala la muda tu Lisu atatoka na atakuwa huru