Yaani uweke Kambi yako eneo ambalo analijua na kila Siku anakuumizia hapo hapo halafu leo ujitutumue Kumfunga na Kufuta Uteja? Wadanganyeni Wehu wenu

Yaani uweke Kambi yako eneo ambalo analijua na kila Siku anakuumizia hapo hapo halafu leo ujitutumue Kumfunga na Kufuta Uteja? Wadanganyeni Wehu wenu

Kolo wewe mimi nakukubali hapo tu.

Utaki unafki kabisa lazima useme ukwel.

Pomoja na hayo vipi game ya leo utaenda kuangalia au utatulia zako mapinga utaki tabu na mtu.
Nipo Kampala nchini Uganda tokea tarehe 9 April, 2024 na siko huko Tanzania ila Mpira nitausikiliza TBC Online baadae.
 
Afadhali Leo umeamua kuchagua fungu la kokosa!

Hii ni nzuri kisaikolojia, hutaumizwa na matokeo yeyote!
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo leo atajua na kuamini kuwa Yanga SC atafungwa na Simba SC. Ushindi wa Simba SC leo ni ama Suluhu (bila magoli) au Sare (ya magoli) na si vinginevyo. Yanga SC wameizidi Simba SC Kiufundi, Kiujanja Ujanja, Kiumafia na hata Kipropaganda vile vile.
 
Sawa mkuu msalimie natasha na muhoozi kainerugaba.
Kwa CDF Gen. Muhoozi zitafika kutokana na uwezekano mkubwa wa kukutana nae mara kwa mara kwa Jukumu ninalolifanya huku ila kwa Natasha nisikudanganye Ratiba zake na zangu za Kiutendaji kutukutanisha ni nadra kwa sasa labda tu ikitokea hafla Ikulu za Entebbe na Nakasero au Kijijini Kwao Rwakitura hapo naweza Kukutana nae.
 
Jamaa mshamba huyu,Akili za muhoozi na zako zinafanana.
 
Back
Top Bottom