Yaani wachezaji wa Yanga jana wako harusini halafu leo wanawafunga kizembe namna ile, kwanini tusiamini kuwa nyie mko kimkakati zaidi katıka hii ligi?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Timu yenu haifanani kabisa na mambo mnayofanya uwanjani, nyie mna wachezaji wenye quality ya kimataifa, nyie timu mkitaja kikosi tu watu hawaingizi timu uwanjani.

Nyie mlitakiwa muwe mnaongoza ligi hadi ss tena mkiwa mbele kwa pointi 10.

Mna wachezaji wazuri mno kuliko Yanga, Simba na hata Azam.

Leo mmedhihirisha kuwa nyie mko kimkakati zaidi.

Aliyoyasema Ahmed Ally kuwa nyie ni maadui zetu namba mbili hakukosea kamwe.

Leo mmefungwa na Yanga hamlalamiki wala nn

Hamlalamiki mabao ya offside, hamlalamikii uamuzi, hamlalamikii kunyimwa penati, mko kama kuku wenye mdondo vile.

Angekuwa Montana anacheza na nyie leo mngekuwa kila wakati mnamlalamikia refa, mngelia kunyimwa penati, mngelalamikia red card, mngelalamika mmefungwa goli la offside ali mradi muionyeshe dunia kuwa mna timu nzuri kuliko Simba.

Yaan nimewalaani sana nyie watu, siwapendi na ninawachukia mno kuanzia leo.

Hivi kweli watu wakisema nyie mko kimkakati kuibania Simba ingawa hamtaweza tunakosea kweli?

Yanga tangu juzi na jana wachezaji wanazurula na harusi ya Aziz Ki tu, wako msikitini wako kwenye send off wako harusini, nyie mko kambini lakini mmekufa kinyela mno.

Yaan kwa jinsi jana nilivyowaona wachezaji wa Yanga kwenye harusi ya Aziz Ki na kesho wanacheza, nikahic kuna utoto kesho pale KMC, yani mechi ngumu namna ile wachezaji sana kula weekend na wamewafunga kilaiiini.

Hamna maana hata kidogo nyie wanyaturu.
 
Kweli wewe sio mwanamichezo .Umeshindwa ata kusifia umahiri wa saw jinsi alivyo mpora mpira nyanda wa ball djigui diarra .
 
Hivi ulikuwepo wapi Simba ilivyocheza na Tabora. Mpaka mseme. Bado hamjasema.
 
Timu yenu haifanani kabisa na mambo mnayofanya uwanjani, nyie mna wachezaji wenye quality ya kimataifa, nyie timu mkitaja kikosi tu watu hawaingizi timu uwanjani.

Nyie mlitakiwa muwe mnaongoza ligi hadi ss tena mkiwa mbele kwa pointi 10.

Mna wachezaji wazuri mno kuliko Yanga, Simba na hata Azam.

Leo mmedhihirisha kuwa nyie mko kimkakati zaidi.

Aliyoyasema Ahmed Ally kuwa nyie ni maadui zetu namba mbili hakukosea kamwe.

Leo mmefungwa na Yanga hamlalamiki wala nn

Hamlalamiki mabao ya offside, hamlalamikii uamuzi, hamlalamikii kunyimwa penati, mko kama kuku wenye mdondo vile.

Angekuwa Montana anacheza na nyie leo mngekuwa kila wakati mnamlalamikia refa, mngelia kunyimwa penati, mngelalamikia red card, mngelalamika mmefungwa goli la offside ali mradi muionyeshe dunia kuwa mna timu nzuri kuliko Simba.

Yaan nimewalaani sana nyie watu, siwapendi na ninawachukia mno kuanzia leo.

Hivi kweli watu wakisema nyie mko kimkakati kuibania Simba ingawa hamtaweza tunakosea kweli?

Yanga tangu juzi na jana wachezaji wanazurula na harusi ya Aziz Ki tu, wako msikitini wako kwenye send off wako harusini, nyie mko kambini lakini mmekufa kinyela mno.

Yaan kwa jinsi jana nilivyowaona wachezaji wa Yanga kwenye harusi ya Aziz Ki na kesho wanacheza, nikahic kuna utoto kesho pale KMC, yani mechi ngumu namna ile wachezaji sana kula weekend na wamewafunga kilaiiini.

Hamna maana hata kidogo nyie wanyaturu.
Hapo bata bado linaendelea wiki hii nzima, halafu ona watakavyoenda kumfanya Mashujaa. Wananajisi mpira wa Tanzania.
 
Mmeanza kubweka sasa hivi,,mtabweka sana tu atucheki na kima,,
 
Mwenzako kapigwa viwili tu unalia wivu we mbona nimekupiga vitano wenzako hawana wivu na wewe?
 
Acha kupoteza muda wako kufuatilia mpira wa bongo, unajichosha TU hakuna kitu kitabadilika,
 
Kwani huko harusini walikuwa wanakunywa castor-oil?
 
Yaan nimewalaani sana nyie watu, siwapendi na ninawachukia mno kuanzia leo.
sauti ya vilio kutoka kwa kolo 😂😂😂 daaaah kmmmke
sasa wakati Pamba anafata kushenyetwa wakataki huo huo kolo ujiandae
safari hii tutahakikisha mnahamia zanzibar kabisa
 
Back
Top Bottom