Yaani we ni mfupi halafu unajaza kifua ili uende wapi?

Watu warefu sana,wengi wao ni wazembe na huzeeka haraka na kupata magonjwa ya mifupa.
Urefu ni ubaguzi usio na maana kama weupe na weusi, havimuongezei mtu chochote...
Una akili sana Mkuu, Ila inabidi ujue sasa kwenye kujenga mwili usipige chuma sana wakati unajijua we mfupi utakuwa mfupi zaidi ukijaa kifua
 
Habari za wakati huu wadau wa Jamvi letu pendwa JF

Eeeh bhana niko kwenye mtoko wa pekee yangu huku...
Dunia hiyo mkuu. Kila mtu ana vionjo vyake bilashaka. Si unaona hata wewe unaandika " ...DJ... anaPOga ...maRadavi..." na unaenjoy kwa raha zako. Na yeye anaenjoy na umbo lake la nge. Good... Gooder...Goodest
 
Body shaming sio kitu kizuri jiheshimu mkuu, ufupi urefu ni maumbile tu.
 
Dunia hiyo mkuu. Kila mtu ana vionjo vyake bilashaka. Si unaona hata wewe unaandika " ...DJ... anaPOga ...maRadavi..." na unaenjoy kwa raha zako. Na yeye anaenjoy na umbo lake la n'ge. Good... Gooder...Goodest

[emoji23][emoji23]Sawaaaaa
 
Body shaming sio kitu kizuri jiheshimu mkuu, ufupi urefu ni maumbile tu.

Nimemtaja mtu hapo ?? Suala ni kwanini ujaziee kifua ili hali we mfupi jmnn ??
 
Mtu mfupi hata ajaze kifua kama meza ya kamari kwa mtu mref n sawa na bure tu
 
Pole kwa kuachwa na mwanaume mfupi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…