Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
- Thread starter
- #41
Una akili sana Mkuu, Ila inabidi ujue sasa kwenye kujenga mwili usipige chuma sana wakati unajijua we mfupi utakuwa mfupi zaidi ukijaa kifuaWatu warefu sana,wengi wao ni wazembe na huzeeka haraka na kupata magonjwa ya mifupa.
Urefu ni ubaguzi usio na maana kama weupe na weusi, havimuongezei mtu chochote...