Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Bwana bwana usichokoze watu wafupi...wakianzisha vagi ni mpaka RPC aje kuamulia..bila hivo hamuelewi mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukute ni mrefu kwenda chini. usimdharau.Habari za wakati huu wadau wa Jamvi letu pendwa JF.
Eeeh bhana niko kwenye mtoko wa pekee yangu huku mkoani kwetu. Sasa hapa kuna ki pub kimoja hapa, sasa kafika jamaa mmoja hivi kajaza hicho kifua ila ni mfupi ndio. Nikawa najiuliza hivi watu wengine huwa hawajiukuzi kuwa. Nitaonekana vipi nikiwa kibaunsa kifupi fupi kama Gogo.
Yaani pamoja na huyu fala mfupi kama Gogo alfu kajaza kifua nimebahatika kupata mtoto siku ya leo imekaa kama weekend kudadeki na DJ alivyo mchokozi anapiga ngoma za maladavi basi mtoto jamani na ukijumlisha na Bia inavyokolea namuoba mrembo mpaka sijui aje yaani jamani.
…!
Bwana bwana usichokoze watu wafupi...wakianzisha vagi ni mpaka RPC aje kuamulia..bila hivo hamuelewi mtu
Kwani kamla mkeo