Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

Mada kama hizi kuletwa na mwanaume hapa unaonesha jinsi gani hii nchi ina matatizo makubwa. Kwa wanaume wa aina hii kweli mzazi atajisifu ana mtoto wa kiume? Ee Mungu niepushie aibu hii katika uzao wangu
Mbona unajitutumua sana ujulikane kama wewe ni me
 
Punguzeni uongo,

unaijua laki tatu ya usawa wa anko Magu?

Ina maana kwa mwezi anatumia milioni

kumi na laki tano....hizi story kawadanganye

mabek tatu .....ndio staili zao hizi
Maisha magumu kwako tu mkuu

Usijilinganishe na wengine
 
Mada kama hizi kuletwa na mwanaume hapa unaonesha jinsi gani hii nchi ina matatizo makubwa. Kwa wanaume wa aina hii kweli mzazi atajisifu ana mtoto wa kiume? Ee Mungu niepushie aibu hii katika uzao wangu
Vi-wonder mkuu. Hivi inakuaje kidume kufikiria hivi. Hawa wapo wengi tu mkikubaliana bei unamalizana nao
Akili inakutumaje kutengeneza uzi.
 
ya kina gigy papa, picha instagram yupo hotel nyumba anayokaa sasa ha ha ha ha ncheke mie
Sasa ndo watu kama hawa wakiona lifestyle ya Gigy wanamsifia hatari ila ile video iliwafungua akili hawa wapenda kik wetu maisha yao halisi yakoje. Hamna kati ya hao watoto mwenye maisha descent. Jiulize Tunda hasomi hafanyi kazi anaishije mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…