Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

Kweli bongo kila mtu ni daktari.. We tayari umejipima na umethibitisha unao! Angalia unachokitamani utakipata, maneno yanaumba
 
Kweli bongo kila mtu ni daktari.. We tayari umejipima na umethibitisha unao! Angalia unachokitamani utakipata, maneno yanaumba

Hahahahaha na mecheka sana yani Tanzania kila mtu mjuaji!
 
unachokisema kina uhalisia fulani hivi juzi nimezunguka kkoo kama masaa 4 leo sijielewi kabisa kichwa kinauma mafua kwa mbali koo limekauka inshort ninajihisi sipo sawa nimechokachoka dalili za mafua naziona kabisa naomba yawe mafua ya kawaida tu.
 
Ushauri wako nauweka kapuni... yaani tumeze dawa kila siku kama waathirika wa ukimwi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kwanini mnapenda kuingiza Siasa za kijinga kwenye mambo ya msingi. Serikali haiwezi kuficha jambo kama hili. Inapopokea taarifa lazima izifanyie kazi na kuhakiki ili isije leta taharuki na kuharibu zaidi.

Please grow up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtakufa kama kuku wenye mdondo haki ya baba mlivyojazana kwenye hako kamji kama nguruwe mtajuuuta!

Nitashukuru mno maana Rais Magufuli ndio itakuwa tiketi yake rasmi kuhamia Dodoma
Hako kamji kila siku watu wanaingia na kutoka...nenda stendi kuu ya mabasi mkoa wowote uone watu wanavyomiminika kila siku kutoka kwenye hako kamji

Tutakufa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unachokisema kina uhalisia fulani hivi juzi nimezunguka kkoo kama masaa 4 leo sijielewi kabisa kichwa kinauma mafua kwa mbali koo limekauka inshort ninajihisi sipo sawa nimechokachoka dalili za mafua naziona kabisa naomba yawe mafua ya kawaida tu.

Kuna ukweli ndani yake....hata mimi asee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona unalialia imekupata nini? Sisi wengine hatuna wewe endelea kulialia tuuu. Kwani ukipata ugonjwa unaanza kumlialia Magufuli mbona hata kwa wanaume wako US ugonjwa upo lakini hawamlalamikii Trump? Acha ujinga pambana na hali yako!
 
Hapo kwenye kunawa jamani jamani. Asilimia kubwa ya waTZ wapo kijijini ambapo maji Safi na salama ni majanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unachokisema kina uhalisia fulani hivi juzi nimezunguka kkoo kama masaa 4 leo sijielewi kabisa kichwa kinauma mafua kwa mbali koo limekauka inshort ninajihisi sipo sawa nimechokachoka dalili za mafua naziona kabisa naomba yawe mafua ya kawaida tu.
Tayari unao! Subiri kifo tu mkuu pole sana. Tangulia wote tunaelekea huko huko kwa Mwenyezi Mungu lakini anza kutubu mkuu kwa madhambi yako.
 
Tayari unao! Subiri kifo tu mkuu pole sana. Tangulia wote tunaelekea huko huko kwa Mwenyezi Mungu lakini anza kutubu mkuu kwa madhambi yako.
ni hivi hapa hafi mtu mkuu.. haya ni mafua tu hata panado simezi.
 
Huu sio muda wa kusafiri safiri kwenda nchi za mbali hasa ulaya lakini bado watu ni viburi. Diamond na timu yake anafanya tour ya europe hivi sasa hii ni hatari hasa ukizingatia kushikana mikono na mashabiki wakati wa show. Huyu angepata ushauri a postpone hizo show zake kipindi hiki wasije kuchuma janga huko wakaja kula na wabongo huku. Huu ugonjwa ni nyoko unakimbia kama moto kwenye majani makavu
 
Mtakufa kama kuku wenye mdondo haki ya baba mlivyojazana kwenye hako kamji kama nguruwe mtajuuuta!

Nitashukuru mno maana Rais Magufuli ndio itakuwa tiketi yake rasmi kuhamia Dodoma
Unafikiri “hako kamji” kakivamiwa mikoa mingine itabaki salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…