Wale watu wanafanya biashara...Na hii ni kutokana na Uaminifu walionao...Kabisa mkuu..na wana gari nyingi kama uchafu aisee. Na kila siku zinaingia,jamaa walisema pale wanazo wastani wa gari elfu 2..na wanasema kule tegeta wana stock nyingine za magari kama elfu 1.
Wakati yard zingine pale dar unakuta wana gari 30 tu π
π€£π€£π€£π€£Budget yake sasa..akachukue pale CMC Automobile, au Toyota ikibidi CFAO uhakika
Nikienda yadi kununua gari kama bosi simjui wa yadi simjui ina maana naweza pata gari mbaya?Umeandika kiswahili sana mpaka nmeshindwa nkujibu nini
na hizo sehemu ndio za uhakika.. kuna msemo wanasema kizuri gharama.. ukiwa na kipato cha kizalendo inabidi mambo yasiwe mengi, yeye aende hapo JAN aombe Mungu apate chuma ambayo haitomsumbua.. pia aangalia gari ni grade gani katika mnada itamsaidia.. nje ya hapo.. CMC Auto suluhisho lake la uhakika.. akamate hata grenadiaa πππ€£π€£π€£π€£Budget yake sasa..
Sio rahisiVISHOKA wameanza kuitana sasa, waanze harakati za kuishi na mleta mada
π€£π€£π€£π€£π€£Aiseee....na hizo sehemu ndio za uhakika.. kuna msemo wanasema kizuri gharama.. ukiwa na kipato cha kizalendo inabidi mambo yasiwe mengi, yeye aende hapo JAN aombe Mungu apate chuma ambayo haitomsumbua.. pia aangalia gari ni grade gani katika mnada itamsaidia.. nje ya hapo.. CMC Auto suluhisho lake la uhakika.. akamate hata grenadiaa ππ
Sahihi CMC ni agent wa Toyota hawafanyi mchezo na hiyo biashara gari used zipo tena high quality shida budget nilishapeleka mtu pale ofisi zao show room posta ya zamani Dar wana gari used za uhakika na new pia ila bei mtu niliyempeleka aliamkia shikamoo bei hakurudi tenana hizo sehemu ndio za uhakika.. kuna msemo wanasema kizuri gharama.. ukiwa na kipato cha kizalendo inabidi mambo yasiwe mengi, yeye aende hapo JAN aombe Mungu apate chuma ambayo haitomsumbua.. pia aangalia gari ni grade gani katika mnada itamsaidia.. nje ya hapo.. CMC Auto suluhisho lake la uhakika.. akamate hata grenadiaa ππ
Sahihi CMC ni agent wa Toyota hawafanyi mchezo na hiyo biashara gari used zipo tena high quality shida budget nilishapeleka mtu pale ofisi zao show room posta ya zamani Dar wana gari used za uhakika na new pia ila bei mtu niliyempeleka aliamkia shikamoo bei hakurudi tena
Ila gari wanazo nzuri mno used na zina guarantee shida budget
Ndio nikaleta humu mada nione labda kuna wengine waaminifu kama wao wanauza magari mazuri used ya bei za bajeti ndogo tuwachangie watanzania wenzetu kwenye yadi zao kama kipengele cha uaminifu na wauzacho ns kusema ndicho je ndicho ? Ili watanzania wasihangaike kuagiza magari nje wanunue tu Yard
Mkuu Shotocan alishafika na feeback yake hiyo hapoπ€£π€£π€£π€£π€£Aiseee....
Haya bhana....atasoma hapa atachagua mwenyewe...
Aisee basi jamaa wamejipanga sana sio mchezoKabisa mkuu..na wana gari nyingi kama uchafu aisee. Na kila siku zinaingia,jamaa walisema pale wanazo wastani wa gari elfu 2..na wanasema kule tegeta wana stock nyingine za magari kama elfu 1.
Wakati yard zingine pale dar unakuta wana gari 30 tu π
Issue sio wingi wa magari ni quality watu ndicho wanaongelea humu kuhusu hiyo Yard kuwa hawaridhiki kinachouzwa sio cha quality tarajiwa na mnunuzi kuwa anachoambiwa ndicho mbele anagundua sichoKabisa mkuu..na wana gari nyingi kama uchafu aisee. Na kila siku zinaingia,jamaa walisema pale wanazo wastani wa gari elfu 2..na wanasema kule tegeta wana stock nyingine za magari kama elfu 1.
Wakati yard zingine pale dar unakuta wana gari 30 tu π
Kati ya watu kumi analalamika mmoja....Hapo unapata hitimisho gani....Issue sio wingi wa magari ni quality watu ndicho wanaongelea humu kuhusu hiyo Yard kuwa hawaridhiki kinachouzwa sio cha quality tarajiwa na mnunuzi kuwa anachoambiwa ndicho mbele anagundua sicho
Hakuna mtu humu kapinga kuwa hiyo Yard haina magari
Kaa na uzuzu wakoLabda ningesemaje dadangu, kiingereza Ni lugha yangu ya tatu baada ya kihehe na kiswahili.
Correct me please.
hao CMC bajeti yao inaanzia ngapi kwa used na inatoutiana shilingi ngapi kwa kuagiza japan na befoward?Sahihi CMC ni agent wa Toyota hawafanyi mchezo na hiyo biashara gari used zipo tena high quality shida budget nilishapeleka mtu pale ofisi zao show room posta ya zamani Dar wana gari used za uhakika na new pia ila bei mtu niliyempeleka aliamkia shikamoo bei hakurudi tena
Ila gari wanazo nzuri mno used na zina guarantee shida budget
Ndio nikaleta humu mada nione labda kuna wengine waaminifu kama wao wanauza magari mazuri used ya bei za bajeti ndogo tuwachangie watanzania wenzetu kwenye yadi zao kama kipengele cha uaminifu na wauzacho na kusema ndicho je ndicho ? Ili watanzania wasihangaike kuagiza magari nje wanunue tu Yard
Bei zao huulizi mara hiyo nimeenda waliweka bei kabisa ukifanya window shopping pale show room yao na bei walikuwa wakiweka hauhitaji kuingia ndani kuuliza bei na gari ukiiona ni kama mpya kabisa imetoka Japan kuanzia muonekanohao CMC bajeti yao inaanzia ngapi kwa used na inatoutiana shilingi ngapi kwa kuagiza japan na befoward?
Nitwit.Kaa na uzuzu wako
Mwambie kabisa wewe sasa hivi ni level ya Raum au istTeh teh teh, dogo nilishavuka level ya Passo.
Acha basiPasso unataka ubadilishe nini zaidi?