Yadi ipi inayouza magari mazuri Tanzania na Zanzibar na inachukua muda gani ukilipa kuchukua gari?

Kabisa mkuu..na wana gari nyingi kama uchafu aisee. Na kila siku zinaingia,jamaa walisema pale wanazo wastani wa gari elfu 2..na wanasema kule tegeta wana stock nyingine za magari kama elfu 1.

Wakati yard zingine pale dar unakuta wana gari 30 tu 😀
Wale watu wanafanya biashara...Na hii ni kutokana na Uaminifu walionao...
Kingine wana Customer care nzuri mno mno...

Wapewe maua yao..
 
🤣🤣🤣🤣Budget yake sasa..
na hizo sehemu ndio za uhakika.. kuna msemo wanasema kizuri gharama.. ukiwa na kipato cha kizalendo inabidi mambo yasiwe mengi, yeye aende hapo JAN aombe Mungu apate chuma ambayo haitomsumbua.. pia aangalia gari ni grade gani katika mnada itamsaidia.. nje ya hapo.. CMC Auto suluhisho lake la uhakika.. akamate hata grenadiaa 😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣Aiseee....
Haya bhana....atasoma hapa atachagua mwenyewe...
 
Sahihi CMC ni agent wa Toyota hawafanyi mchezo na hiyo biashara gari used zipo tena high quality shida budget nilishapeleka mtu pale ofisi zao show room posta ya zamani Dar wana gari used za uhakika na new pia ila bei mtu niliyempeleka aliamkia shikamoo bei hakurudi tena

Ila gari wanazo nzuri mno used na zina guarantee shida budget

Ndio nikaleta humu mada nione labda kuna wengine waaminifu kama wao wanauza magari mazuri used ya bei za bajeti ndogo tuwachangie watanzania wenzetu kwenye yadi zao kama kipengele cha uaminifu na wauzacho na kusema ndicho je ndicho ? Ili watanzania wasihangaike kuagiza magari nje wanunue tu Yard
 
Ndio nikaleta humu mada nione labda kuna wengine waaminifu kama wao wanauza magari mazuri used ya bei za bajeti ndogo tuwachangie watanzania wenzetu kwenye yadi zao kama kipengele cha uaminifu na wauzacho ns kusema ndicho je ndicho ? Ili watanzania wasihangaike kuagiza magari nje wanunue tu Yard

🤣🤣🤣🤣🤣Aiseee....
Haya bhana....atasoma hapa atachagua mwenyewe...
Mkuu Shotocan alishafika na feeback yake hiyo hapo
C. c Makiwendo
 
Kabisa mkuu..na wana gari nyingi kama uchafu aisee. Na kila siku zinaingia,jamaa walisema pale wanazo wastani wa gari elfu 2..na wanasema kule tegeta wana stock nyingine za magari kama elfu 1.

Wakati yard zingine pale dar unakuta wana gari 30 tu 😀
Aisee basi jamaa wamejipanga sana sio mchezo
 
Kabisa mkuu..na wana gari nyingi kama uchafu aisee. Na kila siku zinaingia,jamaa walisema pale wanazo wastani wa gari elfu 2..na wanasema kule tegeta wana stock nyingine za magari kama elfu 1.

Wakati yard zingine pale dar unakuta wana gari 30 tu 😀
Issue sio wingi wa magari ni quality watu ndicho wanaongelea humu kuhusu hiyo Yard kuwa hawaridhiki kinachouzwa sio cha quality tarajiwa na mnunuzi kuwa anachoambiwa ndicho mbele anagundua sicho

Hakuna mtu humu kapinga kuwa hiyo Yard haina magari
 
Kati ya watu kumi analalamika mmoja....Hapo unapata hitimisho gani....

Ila ukiona vipi Pale Mlimani City upande wa pili kuna Yard nyingi sana unaweza kuangalia pia..
 
Sahihi CMC ni agent wa Toyota hawafanyi mchezo na hiyo biashara gari used zipo tena high quality shida budget nilishapeleka mtu pale ofisi zao show room posta ya zamani Dar wana gari used za uhakika na new pia ila bei mtu niliyempeleka aliamkia shikamoo bei hakurudi tena

Ila gari wanazo nzuri mno used na zina guarantee shida budget

Ndio nikaleta humu mada nione labda kuna wengine waaminifu kama wao wanauza magari mazuri used ya bei za bajeti ndogo tuwachangie watanzania wenzetu kwenye yadi zao kama kipengele cha uaminifu na wauzacho na kusema ndicho je ndicho ? Ili watanzania wasihangaike kuagiza magari nje wanunue tu Yard
hao CMC bajeti yao inaanzia ngapi kwa used na inatoutiana shilingi ngapi kwa kuagiza japan na befoward?
 
Bei zao huulizi mara hiyo nimeenda waliweka bei kabisa ukifanya window shopping pale show room yao na bei walikuwa wakiweka hauhitaji kuingia ndani kuuliza bei na gari ukiiona ni kama mpya kabisa imetoka Japan kuanzia muonekano

Pitia tu pale posta ya zamani jirani na NBC iko kati ya posta ya zamani na NBC show room yao

Magari yao used ni classic kwa kweli nenda fanya window shopping utaona mwenyewe
Sina takwimu current siko Dar
 
Back
Top Bottom