Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Wale watu wanafanya biashara...Na hii ni kutokana na Uaminifu walionao...Kabisa mkuu..na wana gari nyingi kama uchafu aisee. Na kila siku zinaingia,jamaa walisema pale wanazo wastani wa gari elfu 2..na wanasema kule tegeta wana stock nyingine za magari kama elfu 1.
Wakati yard zingine pale dar unakuta wana gari 30 tu 😀
Kingine wana Customer care nzuri mno mno...
Wapewe maua yao..