Yafahamu madhara ya kitambi kwa wanaume

Yafahamu madhara ya kitambi kwa wanaume

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Yapo madhara mengi Na hutofautiana kulingana Na jinsia, umri, Na umbo. Nayo ni;

- Kukosa choo, kupata choo kigumu,
- Constipation au choo kuganda
- Bawasili kutokana Na mfumo wa chakula kuzongwa Na taka mwili hasa masalia ya vyakula visivyo mengenywa (insoluble wastes)
- Kupungukiwa Nguvu za kiume
- Miguu kuvimba, joint kuuma Na kuwaka moto. Hali hii huwapata watu kutokana Na uzito uliopitiliza kuegemea Miguu hivyo kusababisha joint kugandamizwa (compression) Na uteute kukauka katika magoti
- Uume kuwa mdogo
- Presha Na kisukari.
Kutokana Na mishipa kujaa mafuta
- Kupoteza umbo halisi la mwanzo
- kupotenza nguvu za kiume kwaharaka unakuwa unachoka mapema kutokana na mafuta yaliyojaa mwilini
 
Yapo madhara mengi Na hutofautiana kulingana Na jinsia, umri, Na umbo. Nayo ni;

√Kukosa choo, kupata choo kigumu,..
Kabla sijamaliza kusoma, sijui mimi ndio sijaelewa heading au. Umesema madhara ya kitambi kwa mwanaume na wakati huohuo unasema madhara hutofautiana kulingana na jinsia. Naomba kujua, kuna aina ngapi za jinsia ya kiume.
 
Mwanamke akiwa na kitambi huwa namuona kama kituko aise, sijui huwa analiwa vipi!
Mwanaume mwenye kitambi namchukulia fresh tu!
 
Dawa ya kitambi

Mahitaji

a) Dawa ya kung'arisha meno mfano whitedent nk

b) Kitunguu maji

Matumizi

Kata kitunguu maji katikati kisha upande mmoja paka au weka dawa ya kung'arisha meno nyingi kiasi. Iache kama dakika 10 baada ya hapo anza kupaka kulizunguka tumbo. Namaanisha huo upande wa kitunguu uliowekwa dawa ya meno.

Hakikisha unapaka tumbo zima. Baada ya hilo zoezi, kaa tena kama dk 15 kisha nenda ukajisafishe au kuoga mwili ujitakase.

Fanya kwa kurudia 1*3. Yaani unapaswa upake huo mpaka mara moja kwa siku kwa siku tatu (3).

Karibu.
 
kikubwa shoo kupiga inakuwa ngumu. Utaishia goli 1 tu hata kama ulikuwa unaenda 3!
 
Back
Top Bottom