Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Kitambi au kunenepa naamini hakitokani/hakutokani na kula sana kinatokana na mtu kuridhika na maisha, believe me.Naongezea,ukitaka kupungua fanya hivi,
1.kula mlo mmoja tu kwa siku,utanishukuru baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishafikia hatua ya kupata kila unachotaka hata ule mlo mmoja konzi ya mkono kwa siku kama kitambi utakiona kama mwili utauona wengi ukiondoa wale wenye miili ya asili wanakuwa wembamba kutokana na shida ila shida zikiwaisha ukikutana nao unawasahau.
Sent using Jamii Forums mobile app