Yafahamu madhara ya kitambi kwa wanaume

Naongezea,ukitaka kupungua fanya hivi,
1.kula mlo mmoja tu kwa siku,utanishukuru baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambi au kunenepa naamini hakitokani/hakutokani na kula sana kinatokana na mtu kuridhika na maisha, believe me.

Ukishafikia hatua ya kupata kila unachotaka hata ule mlo mmoja konzi ya mkono kwa siku kama kitambi utakiona kama mwili utauona wengi ukiondoa wale wenye miili ya asili wanakuwa wembamba kutokana na shida ila shida zikiwaisha ukikutana nao unawasahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwili ni hazina na hauna warranty, usipochukua tahadhari sasa hivi utakucost baadae.

Ikiwa ku-ucontrol tu mwili wako unashindwa, ni dalili vitu vingi vinakushinda kwa uzembe.

Habari njema ni kwamba unao uwezo wa kubadilika na mambo yakakaa sawa.

Never give up!!
 
Hamdan said:
Mkuu usitake kufanya kila kitu kina madhara
Ni kawaida kila chenye faida kina madhara.. Hakuna chenye faida kikakosa side effect zake.. na vise versa.

Nitajie (mfano) wa kitu chenye faida tu kikakosa hasara.
 
Masalu Jacob
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…