Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,350
- 26,166
Majimbo Mapya
1. Mkoani Dar es Salaam-majimbo 2
(a) Jimbo la Kivule lililogawanywa kutoka Jimbo la Ukonga
(b) Jimbo la Chamazi lililogawanywa kutoka Jimbo la Mbagala
2. Mkoa wa Dodoma-jimbo 1
Jimbo la Mtumba lililogawanywa kutoka Jimbo la Dodoma Mjini
3. Mkoa wa Simiyu-jimbo 1
Jimbo la Bariadi Mjini lililogawanywa kutoka Jimbo la Bariadi
4. Mkoa wa Geita-majimbo 2
(a) Jimbo la Chato Kusini lililogawanywa kutoka Jimbo la Chato
(b) Jimbo la Katoro lililogawanywa kutoka Jimbo la Busanda
5. Mkoa wa Shinyanga-jimbo 1
Jimbo la Itwangi lililogawanywa kutoka Jimbo la Solwa
6. Mbeya-jimbo 1
Jimbo la Uyole limegawanywa kutoka Jimbo la Mbeya Mjini
Majimbo yaliyobadilishwa majina
Chato kuitwa Chato Kaskazini
Nkenge kuitwa Missenyi
Bariadi kuitwa bariadi Vijijini
Manyoni Mashariki kuitwa Manyoni
Singida Kaskazini kuitwa Ilongero
Buyungu kuitwa Kakonko
Mpanda Vijijini kuitwa Tanganyika
Manyoni Magharibi kuitwa Itigi
Singida Mashariki kuitwa Ikungi Mashariki
Singida Magharibi kuitwa Ikungi Magharibi
Tabora Kaskazini kuitwa Uyui
Handeni Vijijini kuitwa Handeni
Waungwana, kuna tija na haja ya mabadiliko haya?