Yafichuka mazito: Diamond Platnumz na Majizo bifu zao hazina mashiko

Yafichuka mazito: Diamond Platnumz na Majizo bifu zao hazina mashiko

Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka na Hamisa Mobetto before na kupata nae mtoto mmoja.

Hamisa Mobetto ambaye ni mjasiriamali na msanii pia kutokea bongo/nchini Tanzania/socialite pia mrembo huyu anapambana sana sio poa.

Bifu ya Diamond Platnumz na Majizo chanzo ni kutambiana kwa umaarafu, pia Hamisa ambaye ameshawahi kuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na amezaa naye mtoto.

Kwa sasa EFM haipigi kazi yoyote ya Diamond Platnumz, ndio maana hata event ya Marioo Diamond Platnumz hakuhudhuria japo alituma wawakilishi.

Iko hivyo, so mimi binafsi bifu hii hawezi peleka muziki mbele na Maboss wa media ndio chanzo cha kufelisha sanaa, kujikuta wao ndio wao while wameweka vyombo vya habari kwa ajili ya kusapoti na kuhabairisha jamii ila now imekuwa kinyume.

Ok, anyways, yangu ni hayo kwa leo. Uwe na siku njema.
Ok, anyways, ingependeza Ok, anyway.
 
Acha kukurupuka na story za vijiweni TV E gani isiyoonesha nyimbo za Diamondi kila siku zinapigwa nakupa kazi wacha TV -E siku nzima angalia Kama hutoona hizo video za mind.

Hata hao clouds skuziizi wanapiga japo kwa siku Mara moja
Duuhh siku nzima? Hiyo ni adhabu mkuu
 
Ivi hadi leo kuna mtu msanii anategemea radio jinga wewe
 
Back
Top Bottom