Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Inawezekana ni jamii ilichokufunza kuhusu pombe ndicho kinachokutesa, sio pombe kama pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama nitakunywa pombe za sherehe(bwerere) hali ni hiyo hiyo mkuu.Kwa hiyo lazima pana jambo nyuma ya pazia.Hiyo Zappa huwa inapigwa kibiriti kabla ya kunywa nimekiona hapo safi,
Ila pia usinywee mshahara,kodi wala ada wala hela yoyote yenye malengo na wala usinywe kwa hela ya kukopa lazima uumwe second day
Ila jumamosi ikifika unatumia tena!??Maana kwa kuhofia kupatwa na niliyoyaeleza hapo juu,najikuta naogopa kutumia pombe tena