GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Hopeless kabisa Wewe kwahiyo Kwako Wewe kuachiwa kutoka Gerezani kwa Mbowe na Tundu Lissu kuruhusiwa kurejea Nyumbani ndiyo Mafanikio ya Mpuyangaji wenu kwa miaka yake Miwili?Acheni kutokuwa na shukrani walau kidogo.
Ukitaka kufahamu kuwa tumepiga hatua muulizeni Mbowe na Lissu.
Naulaumu sana Ugonjwa wa UVIKO-19 ( COVID-19 ) kwanini haukuondoka na Mipuuzi na Mwendawazimu fulani fulani ili tunaojuana Kufiiri tupumzike na Kero ya Uwepo wao miongoni mwetu.
Hovyo.......!!!!!!