Yafuatayo ni mambo ya msingi kwa Yanga ili waweze kufuzu kesho

Yafuatayo ni mambo ya msingi kwa Yanga ili waweze kufuzu kesho

Hiyo namba 2 ina ukweli ndani yake kumhusu mlinda mlango wetu namba 1, ila ndiyo hivyo tena! Kesho ataanza yeye. Lakini pia Yannick Bangala ndiyo kiungo mkabaji pekee wa kueleweka! Sasa wanapo pangwa watu kama Aucho au Bigirimana kukaba, madhara yake ndiyo yale ya timu kuelemewa kule nyuma.

Binafsi hiyo kesho natarajia kulala mapema. Mtanipa matokeo keshokutwa iwapo tunaenda makundi, au tunaenda mtoano tena kombe la shirikisho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesalimu amri
 
Marefa sasa hivi wapo fair nmeangalia mechi ya Mazembe na Vipers ni kwamba Yanga wakiwa wazuri uwanjani game bado mbichi hii
Mechi ya Es Tunis vs Plateau. Es Tunis walielekea kutoka hadi dakika ya 83 refa kaweka tuta. Mechi ya Al Hilal vs St George,. Al Hilal hadi dakika 80 walikuwa wanaelekea kutolewa refa kaweka tuta.
Mechi ya pirates vs Simba kule Afria kusini kuna matukio kadhaa ambayo yaliya favour wenyeji kuliko Simba.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Yamepugua sana sio kama zamani
 
Back
Top Bottom