Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Kwamba Hilal wao watakuwa wabovu uwanjani?Marefa sasa hivi wapo fair nmeangalia mechi ya Mazembe na Vipers ni kwamba Yanga wakiwa wazuri uwanjani game bado mbichi hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesalimu amriHiyo namba 2 ina ukweli ndani yake kumhusu mlinda mlango wetu namba 1, ila ndiyo hivyo tena! Kesho ataanza yeye. Lakini pia Yannick Bangala ndiyo kiungo mkabaji pekee wa kueleweka! Sasa wanapo pangwa watu kama Aucho au Bigirimana kukaba, madhara yake ndiyo yale ya timu kuelemewa kule nyuma.
Binafsi hiyo kesho natarajia kulala mapema. Mtanipa matokeo keshokutwa iwapo tunaenda makundi, au tunaenda mtoano tena kombe la shirikisho.
Acha mhemuko nmesema kama watakua wazuri uwanjani means hakuna kisingizio cha waamuzi mbona unafanya mambo yawe mengi
Mechi ya Es Tunis vs Plateau. Es Tunis walielekea kutoka hadi dakika ya 83 refa kaweka tuta. Mechi ya Al Hilal vs St George,. Al Hilal hadi dakika 80 walikuwa wanaelekea kutolewa refa kaweka tuta.Marefa sasa hivi wapo fair nmeangalia mechi ya Mazembe na Vipers ni kwamba Yanga wakiwa wazuri uwanjani game bado mbichi hii
Yamepugua sana sio kama zamaniMechi ya Es Tunis vs Plateau. Es Tunis walielekea kutoka hadi dakika ya 83 refa kaweka tuta. Mechi ya Al Hilal vs St George,. Al Hilal hadi dakika 80 walikuwa wanaelekea kutolewa refa kaweka tuta.
Mechi ya pirates vs Simba kule Afria kusini kuna matukio kadhaa ambayo yaliya favour wenyeji kuliko Simba.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kama Vipers wameweza hata Uto..anaweza.
Thread ya mwaka 2022Hayo mambo kwa sasa unadhani nani anapaswa kushauriwa?
Mtoa ushauri yeye ndiye anatakiwa kushautiwa sasaThread ya mwaka 2022