Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

Fei Toto hana gharama kubwa kama mnavyoambiwa. Anachukuliwa kirahisi kwa buyout clause ya milioni 113 kama aliyoexercise yeye. Sababu nyingine ni mkataba wake umebaki wa mwaka mmoja hivyo unaweza ukafidiwa
 
Mbumbumbu kwenye ubora wako
 
TIMU INAPASWA IFANYE MABADIRIKO. VIONGOZI WANAPASWA WAJIUZURU NA WACHEZAJI WAONDOSHWE.

Kwanini mmepoteza Beno kakolanya kirahisi hivyo????

1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.

WACHEZAJI WAZAWA WA KUACHWA.

1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.

NAFASI MUHIMU ZA KUJAZA.

1.Golikipa nambari Mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji ,, 6 ,, 8.
5. Mshambuliaji wa KIGENI futi sita.
6. Winga wa kushoto.

ZINGATIENI SANA VIMO VYA WACHEZAJI WALAU 6 FEET.

BORA KUSAJILI WACHEZAJI WACHACHE KULIKO KUWA NA RUNDO LA WACHEZAJI MIZIGO.
MOHAMED DEWJI.
TRY AGAIN.
MANGUNGO.
BODI YA WAKURUGENZI.
 
KOcha atamleta wake, taarifa zinasema ni mnyarwanda anayefanya kazi timu ya taifa. Nadhani wataangalia kigezo pia cha lugha ya kifaransa maana kwenye benchi wachezaji wanaoongea kifaransa wanapata shida ya mawasiliano
Huyo kocha wa viungo hakuwa anafaa tangu mwanzo, kuhusu atakayekuja nadhani kocha mkuu aamue yeye
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
Yaani ni aibu, mechi zingekuwa zinaendelea angefikisha 15
 
Young Africans tulikosa lakini simba walikosea zaidi kwenye usajili
 
Vipi gharama ya Feitoto ni kubwa kama ulivyotuaminisha hapa?
 
Kunanpesa inahitajika sasaaa...sio porojo tu Mo analalamika anapata hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…