Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

Jefferson Luiz, golikipa wa Simba SC ameumia vibaya na atakaa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Simba imeachana naye na inamsaka mbadala wake kufikia kesho
Hapa wakubali tu tulichemka.. kusema ukweli kuwa tumemtema wameona noma.
 
Niko hapa kuthibitisha kuwa kipa la Kibrazil Caique Luiz Purificao kutoka Ypiranga limechukuliwa na Simba mnyama
 
Jefferson Luiz, golikipa wa Simba SC ameumia vibaya na atakaa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Simba imeachana naye na inamsaka mbadala wake kufikia kesho
U turn. Kipa anayekuja Simba anatokea Rodez ya Ufaransa(, Lionel Mpasi
 
Hatimaye na Banda kaagwa, tena wa mwisho kama nilivyomuandika wa mwisho na kumuwekea mabano. Utabiri umetimia kwa 100%
 
Hatimaye na Banda kaagwa, tena wa mwisho kama nilivyomuandika wa mwisho na kumuwekea mabano. Utabiri umetimia kwa 100%
Utabiri wa nyota Tano [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294] ila Mhe. Upo makao makuu nini?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Huyo sio mtabiri bali ni mvujisha taarifa hawa ndo mnakaa mnajadili baada ya nusu saa mnaona kwa mange
 
Back
Top Bottom