tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Wakuu mimi bado masikini,nipo napambana najitafuta.Kwa muda mrefu nimejichanga kutafuta ka mtaji nikapata. Nikatafuta kasehemu nikafungua local grocery,yani ni ya kawaida sana.Biashara ikaanza kwa mwitikio mzuri tu si haba.
Siku kadhaa baada ya kuanza,mama mwenye nyumba ambaye anaishi hapohapo akaibuka na hoja ya kuwa nianze kulipa hela ya mlinzi kwa kumpa yeye mwenyewe laki 1! Mimi nikamwambia mama kimahesabu unanionea kwasababu pango ni 60,000 inakuwaje nilipe mlinzi laki?Akasema basi lipa 50,bado ikawa ni kandamizi kwangu.Katika kutafuta namna nikamwambia nitaongea na mlinzi nijue namna ya kumwongezea,mama akakataa akasema sitaki na "UKIKOSA TV NA RADIO TUSIULIZANE"Mimi nikasema sawa.Haikupita siku hata 1 nikakuta asubuhi pamevunjwa na TV nchi 43 na radio nzuri tu havipo.
Nikasema sawa hamna shida, nikawasiliana na wazazi home wakasema kama ipo hivyo kaa kimya usifanye lolote.
Nimebaki kimya,ila kuna utamaduni nimeufanya nitawapa majibu hapahapa siku 1.Watu wengi wanashangaa mimi kukaa kimya na kutoenda polisi.Ila nitawapa mrejesho wakuu.
Thamani ya laki 8 ndo nimeibiwa.