Yah:kuibiwa usiku wa tarehe 3.09.2024


Pole sana.
Kama unajiweza jibu shambulizi kwa namna ambayo itakuwa funzo
 
Tusije kuletewa tangazo la biashara mrejesho wa pili.
 
Huo utamaduni muhimu sana hata mimi nilishawahi kuufanya kwa wezi wa mbao zangu ,nilipoibiwa mzee akaniambia katangaze warudishe alafu kaa kimnya wiki moja ,duh mzee mkaksi yule nashangaa nafatwa na wazee wao wale wezi eti niwasamehe wamekosa na mimi nikakataa sijui kitu shenzi.
 
Kwa iyo nini kiliwakuta hao wezi wako
 
Mswahili akiona unaendelea na upo kwake anapandisha kodi kama mali ya mama yake shenzy kabisa
Watakufa masikini kwa tamaa zao
Bongo balaa
Kuna jamaa zangu walikodi eneo, palikua rafu sana. Wakapaweka sawa wakaanzisha biashara ya yule mnyama aliyerushiwa mapepo ya jeshi kule Samaria. Eneo likafana kweli kweli wakaanza kupiga hela.

Chakushangaza kodi ilivyoisha mwenye eneo akasema anapahitaji, akawatoa. Na kubwa zaidi akaendeleza biashara ile ile. Hata hakufikisha miezi miwili akashindwa pakafungwa.
 
Mwafrica anachomudu kwa ufanisi kabisa ni uchawi na kucheza ngoma
 
Wivu huo na Roho mbaya,,,anataka utoke hapo afanye yeye Kwa kuwa anaona kuna chochote Kitu,,wenye Nyumba wengi wako hivyo,,achana nae jikatae hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…