Hahhaa, Teamo nimecheka sana ukaribisho wako, na nilikuwa bize nikisoma wapwaaz wanavyoendelea kunikaribisha kundini...Kimey unajua tena gesti za keko ukimaliza lazima msumbuane bei......ila nimeingia tu ndani ya ISC na kupata hamu ya kufumaniwa..

Woooow!gud to hear that,naomba teamo wajue kabisaaaaaaaaa kwamba hauko tena kny ule ufalme,otherwise me and u only
:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::dance::dance::dance:Infiii bye:A S 103::A S 103:
soooo, you think you can handle us all? i mean, hiyo room yako ya kunanihii ni kubwa kiasi gani??
hahahaha!
here we go......
so what's the plan?
bodi ya udhamini imetoa baraka zake
Uko guest ipi ile inayoitwa KEKO MAGURUMBASI GEUST HOUSE ILE NILIAMBIWA PALE MNAINGIA KWA FOLENI
Bwana Yesu asifiwe wapendwa wangu!
kuna nini humu ndani?
Mbarikiwe sana na Bwana wa mabwana....
Bwana Yesu asifiwe wapendwa wangu!
kuna nini humu ndani?
Mbarikiwe sana na Bwana wa mabwana....
Unashauriwa kuanza kufanya hand over ya ofisi.:A S-heart-2::A S 8::A S 8::A S 8:.....tukainfidelise line??
Hahhaa, Teamo nimecheka sana ukaribisho wako, na nilikuwa bize nikisoma wapwaaz wanavyoendelea kunikaribisha kundini...Kimey unajua tena gesti za keko ukimaliza lazima msumbuane bei......ila nimeingia tu ndani ya ISC na kupata hamu ya kufumaniwa..
kwakweli wewe ni mwanachama ''LULU'' ndani ya hii club.........!
ISC hamna kufumaniwa bana....soma rules vizuri....kwa afya yako :tea::tea::tea:
Uko guest ipi ile inayoitwa KEKO MAGURUMBASI GEUST HOUSE ILE NILIAMBIWA PALE MNAINGIA KWA FOLENI
Kwani na wewe kwisha pata valuu?mbona tulikubaliana ni mmoja mmoja kwa awamu?weka kny diary
Bwana Yesu asifiwe wapendwa wangu!
kuna nini humu ndani?
Mbarikiwe sana na Bwana wa mabwana....
Nitakukol kwa ajili ya logistics! Grrrrrrrrrrrrr!
Hahaha......sikuizi mnafanya booking kwa msg.....nishatoka huko!
Kuna jamaa anawalalamikia kweri hapa hebu msomeni https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/78939-mods-mnafumbia-macho-haya.html
Noted........hebu niku😛hone:tupange muda na sehemu......i mean ramani ya chumbani kwakoKwani na wewe kwisha pata valuu?mbona tulikubaliana ni mmoja mmoja kwa awamu?weka kny diary
Unashauriwa kuanza kufanya hand over ya ofisi.
Kumbuka si ruksa ku :A S-heart-2::A S-heart-2: kabisa. sisi tunafanya hii :croc: kwa kambi pinzani
ISC hamna kufumaniwa bana....soma rules vizuri....kwa afya yako :tea::tea::tea:
Hahaha mwenyekiti amtayarishie kadi yake...Kuna jamaa anawalalamikia kweri hapa hebu msomeni https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/78939-mods-mnafumbia-macho-haya.html
Halafu wewe...unakesi ya kujibu!Bwana Yesu asifiwe wapendwa wangu!
kuna nini humu ndani?
Mbarikiwe sana na Bwana wa mabwana....
Noted........hebu niku😛hone:tupange muda na sehemu......i mean ramani ya chumbani kwako