The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
@ Teamo
Vipi tena mbona umetoa barua ya siri kwenye foram?
Au ndio transparency ya slaa?
''KNOWLEDGE IS POWER''
''...Huyu ni mzee wa majigambo. Nasikia mwanae alipooa Uchagani akaseme sasa na sisi tunatambulika kama watu tulioendelea...''-JASUSI-jf member-13th October 2010 03:38 AM
Hivi hii inahusika leo Ijumaa?
Hilo tu sema lingine! Nipo kikazi zaidiUlijuaje kakaaa.....Kimey eee....hilo jukumu tunakuachia wewe
Hilo tu sema lingine! Nipo kikazi zaidi
sasa napata wasi wasi kama tunae ''makamba'' au katibu.........
Forget about him,wiselady on mission
ushafika jj wewe?Forget about him,wiselady on mission
Muda umefika mbona unajichelewesha
ushafika jj wewe?
au umemrudia Asprin?
Generation-Y yuko wapi baada ya kikao cha kumkaribisha ijumaa nakumbuka kama mhazini alichukua alimpa kadi na pia akatoa mchango pia MJ1 aliamua kulipa ada ya mwaka mzima wa 2011
Narudia tena, ASPRIN yeye tayari tunaenda kwa mpangilio mbona unapata kaugonjwa kakusahau?
Afu ikawaje ukantoroka gesti?
Afu ikawaje ukantoroka gesti?
Mhazini unadaiwa risiti
Nimemwachia ASHURA pale Fairway. Mwambie akaichukue baada ya kupatiwa huduma. Kizuri kula na nduguyo......:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
Hivi Teamo ame-do ze needful kwa ile useful ingizo? i mean number 3 imetendewa kazi? mimi sihitaji number tatu pale, nimeshathaminisha.Nimeipata...niliisoma hii post nikiwa tayari kwenye lift....Finest Ashura anasema kama huamini nenda kamuulize kama nimeichukua, ila upate huduma kwanza kabla ya kuuliza....(KKN- kizuri kula na nduguyo)
Nimeipata...niliisoma hii post nikiwa tayari kwenye lift....Finest Ashura anasema kama huamini nenda kamuulize kama nimeichukua, ila upate huduma kwanza kabla ya kuuliza....(KKN- kizuri kula na nduguyo)
Hivi Teamo ame-do ze needful kwa ile useful ingizo? i mean number 3 imetendewa kazi? mimi sihitaji number tatu pale, nimeshathaminisha.