YAH:kumkaribisha member ''GENERATION-Y'' ndani ya I.S.C

''KNOWLEDGE IS POWER''
''...Huyu ni mzee wa majigambo. Nasikia mwanae alipooa Uchagani akaseme sasa na sisi tunatambulika kama watu tulioendelea...''-JASUSI-jf member-13th October 2010 03:38 AM

Hivi hii inahusika leo Ijumaa?

hahahaha!mkuu kuna thread moja mzee makamba alikuwa anajisifia kuhusu mwanae kuoa uchagani sasa nilivyosoma nimejiuliza maswali mengi sana juu ya huyu mzee wa kisambaa
 
:shut-mouth::ranger::ranger::ranger::violin:
 
Generation-Y yuko wapi baada ya kikao cha kumkaribisha ijumaa nakumbuka kama mhazini alichukua alimpa kadi na pia akatoa mchango pia MJ1 aliamua kulipa ada ya mwaka mzima wa 2011
 
Umenena Finest.....risiti yangu jama
 
Nimemwachia ASHURA pale Fairway. Mwambie akaichukue baada ya kupatiwa huduma. Kizuri kula na nduguyo......:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:

Nimeipata...niliisoma hii post nikiwa tayari kwenye lift....Finest Ashura anasema kama huamini nenda kamuulize kama nimeichukua, ila upate huduma kwanza kabla ya kuuliza....(KKN- kizuri kula na nduguyo)
 
Hivi Teamo ame-do ze needful kwa ile useful ingizo? i mean number 3 imetendewa kazi? mimi sihitaji number tatu pale, nimeshathaminisha.
 
Nimeipata...niliisoma hii post nikiwa tayari kwenye lift....Finest Ashura anasema kama huamini nenda kamuulize kama nimeichukua, ila upate huduma kwanza kabla ya kuuliza....(KKN- kizuri kula na nduguyo)

Orait orait na hii black monday atasaidia sana kusogeza siku ya leo
 
Back
Top Bottom