Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
1718937317698.png

Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana na tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alikuwa anatuma mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
 
Back
Top Bottom