Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Je? Alifanikiwa kufanya hivo, au alikuwa anajaribu tu, au aliteleleza.
Nani aliyetoa taaaifa?
Naombeni majibu
Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliwa
 
iwe fundisho kwa viongozi wote wenye tabia ya uzinzi.
Viongozi wote ambao hawataki kutulia na familia zao lazima waumbuliwe.

Nawaasa wanawake wote ambao wamerubuniwa na mabosi/vigogo wawaumbuwe haraka.

Kuna tatizo kubwa sana kwa Dada zetu, mama zetu wanao soma na wanao fanya kazi maofisini na hata kwenye siasa wanadhalilishwa na kutumiwa kingono ili watimize malengo yao!!!!
 
Tushazoea hizo sarakasi za Lumumba.

Gekul yuko mtaani.

Sabaya yuko mtaani.

Makonda yuko mtaani

Kenan Kihongosi yuko mtaani.

Majizi, wauwaji, vibaka ni sehemu ya CCM huo ni upepo tu utavuma na mwisho wa siku utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi maana hakuna ushahidi wa kutosha kumtia mshtakiwa hatiani.
 
Si shahidi alie tendewa alifuta kesi kwamba anatumika kisiasa au wanatufanyia maigizo
Shahid anawezaje kufuta kesi? Hapo anachoweza kufanya huyo Shahid ni kutotoa ushirikiano ili kuwafanya waendesha mashtaka washindwe kuthibitisha kosa.

Shahid anaweza kukana kumfaham mtuhumiwa na kesi inakufa natural death.
 
Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliw
Ok
 
Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliwa
Sio kwa ubaya ila kila nikisoma kitu chenye ncha butu......najikuta nacheka
 
Back
Top Bottom