Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Hahahaha kwa hiyo bora angedabwa anapiga punyeto kuliko kashifa ya kulawiti😂😂😂😂😂😂😂😂 ila kama nakuelewa nikivuta picha huyu jamaa ana hali mbaya hata akishinda case au kuzimwa awezi kuachwa peke yake hata na mtoto wake
Ndio mkuu, nyeto ni suala binafsi ila ulawiti hapo jamii lazima ikuvae
 
Si shahidi alie tendewa alifuta kesi kwamba anatumika kisiasa au wanatufanyia maigizo
Jinai ni kosa dhidi ya Jamhuri na ni Jamhuri (kupitia DPP) ndiyo yenye uwezo wa "kutokuwa na nia" ya kuendelea na kesi. In short, kwa jicho la kisheria, aliyeingiliwa na Dr. Nawanda ni Jamhuri na sio huyo demu!
 
Hii ni Kesi nyepesi sana, Mtuhumiwa atashinda ingawa imemsababishia aibu na fedheha kwa Jamii na pia kumfukuzisha Ukuu wa Mkoa.

Atashinda kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mtuhumiwa alitenda hilo kosa, inawezekana vipimo vilionesha kuwa Mlalamikaji kaingiliwa kinyume na maumbile lakini ni ushahidi upi utathibitisha kuwa aliyetenda kosa hilo ni Mtuhumiwa?

Lakini pia naona Mlalamikaji hawezi kutoa ushirikiano kutokana na aibu lakini pia shinikizo kutoka Watu wengine ambao wapo upande wa Mtuhumiwa.
 
Huyu Binti alitokea wapi kwendakwenye gari la RC?
AuRC alimfuata chuoni?
Huyu Binti alitumwa Chuoni au kufanya ukahaba?
Mbona unam-treat binti wa university kana kwamba ni STD 4? Ana haki ya kufanya chochote mradi havunji sheria na ni jukumu la serikali kulinda haki zake hizo za kirai.
 
Back
Top Bottom