Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Alafu mwisho wa siku tutakuja kuambiwa dpp amechoma betri biashara imeishia hapo
 
Bajeti kuu imesomwa leo bungeni, tupate nafasi ya kuitafakari, kuijadili na kuichambua, haya mengine tuyaache kwa vyombo vinavyohusika.
 
iwe fundisho kwa viongozi wote wenye tabia ya uzinzi.
Viongozi wote ambao hawataki kutulia na familia zao lazima waumbuliwe.

Nawaasa wanawake wote ambao wamerubuniwa na mabosi/vigogo wawaumbuwe haraka.

Kuna tatizo kubwa sana kwa Dada zetu, mama zetu wanao soma na wanao fanya kazi maofisini na hata kwenye siasa wanadhalilishwa na kutumiwa kingono ili watimize malengo yao!!!!
Huyo binti tamaa zake zimemponza.
Mabinti waache tamaa.
Huyo binti hajatekwa kaitwa na kwenda mwenyewe.
 
Tushazoea hizo sarakasi za Lumumba.

Gekul yuko mtaani.

Sabaya yuko mtaani.

Makonda yuko mtaani

Kenan Kihongosi yuko mtaani.

Majizi, wauwaji, vibaka ni sehemu ya CCM huo ni upepo tu utavuma na mwisho wa siku utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi maana hakuna ushahidi wa kutosha kumtia mshtakiwa hatiani.
Ongeza na yule aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Bwana Pima na wenzake nao wameachiwa..wapo huru...

Zile Mbwembwe za bwana PM siku ile Ukumbi wa AICC tupwa kule..AIBU
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa...
Safi,Kuna yule DC wa Mafia alilawiti mwanafunzi akakamatwa mbona kuko kimya? Isijekuwa ni danganya toto funika Kombe mwanaharamu apite.
 
Back
Top Bottom