Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Kumbe jamaa kitambo kwenye game?! Nimeona sehemu alikua Mkuu wa Wilaya ya Lindi mwaka 2015. Unatengeneza CV yako vizuri ya uongozi serikalini for more than 10 years inakuja kuharibika wakati ambao imebaki kidogo tu upande rank kwasababu kilichokua kinafuata kwake ni Ubunge then Uwaziri fasta tu. 46yrs kwa sasa hata asipofungwa ila ishamuharibia sana adi aje kutulia, watu watu washau na kumuona wa maana tena atakua na 60 kasoro
 
Na mjadala umehamia kwenye noti ya sh 100 kuwa na nembo ya Yanga.

Nchi ya mafala hii. Bora ningezaliwa jibwa Ulaya.

Hata Tumsime angekuwa kafirwa na afisa wa serikali za Ulaya angekuwa bilionea. Lkn hapa kaambulia 65M tu.
 
Sasa 65M ndogo kwa hapa Tz? Akat kuna wenzie wanalawitiwa kwa chips kavu na soda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Still tuta-assume ni gari iliyonunuliwa kwa malipo ya mshahara uliotokana na kodi zetu.
Ni mshahara wake. Gari ni yake auu rafiki yake. Bado haijasemwa gari ni ya nani, baaada ya tukio allishuka akatokea geti upande mwingine.
Something else Mtalaumu kila kiongozi maaana wapo wanahonga kupitia pesa za kodi, wanapangia watu appartment starehe za watoto zao.
All in all stick to the thread huku kwingine kupana sana.
 
Na unaweza kukuta bajeti isijadaliwe kabisa kulingana na mwenendo wa heka heka za RC Yahaya utakavyokuwa

Siasa za Bongo ni za kimkakati sana 🐼

Mlale unono 😄
Kwa sasa Tanzania ni nchi ya kula kwa urefu wa kamba zetu , bajeti haina maana kama ripoti za CAG huwa zinapuuzwa . Tusubiri kuanzia 2025 Chadema wakichukua utawala wa nchi , waziri wa fedha na uchumi akiwa Peter Msigwa ndo bajeti za nchi zitaanza kuwa na maana .
 
Na mjadala umehamia kwenye noti ya sh 100 kuwa na nembo ya Yanga.

Nchi ya mafala hii. Bora ningezaliwa jibwa Ulaya.

Hata Tumsime angekuwa kafirwa na afisa wa serikali za Ulaya angekuwa bilionea. Lkn hapa kaambulia 65M tu.
65mill?

Nyingi sana tena hata hiyo ashukuru maana wenzake wanabanduliwa bure baada ya offer za Shisha K-vant na nini Light zile beer zinakuwa rangi ya kijani!
 
Mpaka uchaguz tutadhuhudia matukio kibao ya wanasiasa.kada kalawiti Kuna yule WA mafia alibaka😭😭
 
Na unaweza kukuta bajeti isijadaliwe kabisa kulingana na mwenendo wa heka heka za RC Yahaya utakavyokuwa

Siasa za Bongo ni za kimkakati sana 🐼

Mlale unono 😄
Bajeti zilikua za kina Amir Jamal, Cleopa Msuya, Edwin Mtei, Steven Andandangisye, Kighoma Malima. Sasa hii ya Mwigulu ya kukopa trilioni 20 ndani ya miaka mitatu na kuuza bandari bado nauli ya yreni Dar/Dom 120,000 utajadili Nini?
Umesikia alivyojikanyaga alipotoa maelezo kuhusu kukua kwa Deni la taifa,?
Bora kum diskas Yahya ambaye leo hii atalala na vijana wenye kunguni.
 
Kulawiti=Kudhalilisha.
1.Makosa haya yote yanafanana
2.Kulawiti ni kitendo kinatendwa katika faragha kwa kugusa mwili.
3.Kudhalilisha ni kitendo kinatendwa katika faragha au mbele ya hadhara ya watu.

Sasa unaweza kuona mazoea ya viongozi kudhalilisha watu hadharani,wanajikuta wanaangukia kwenye makosa hata anapokuwa katika faragha.

Yule mwingine amepigiwa kelele anadhalilisha wanawake na ushahidi umetolewa,lakini.......
 
Back
Top Bottom