MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Lazima nije kukuona Yahya nikuletee uji wa tembele ulainishe utumbo ,vijana wa KM humo mahabusu waishi na wewe wima ,Karma is bitch bro ,naandika hapa utayakuta ukitoka huko .
Sifurahii wewe kuwepo huko Ila naumia ulinitendea ubaya na bado ukanigalagaza Kama vile hunijui kisa vibinti vya masijala ,Kaka jela ni njia ,zamu yangu ilifika nikapita Sasa ni zamu yako ndugu ,vumilia ,yatakwisha .