DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Inafikirisha Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kwa mtu anayejitambua atakuwa na muda wa kusikiliza hiyo copy and paste ya bunge kibogoyo la majizi ya kura?Na unaweza kukuta bajeti isijadaliwe kabisa kulingana na mwenendo wa heka heka za RC Yahaya utakavyokuwa
Siasa za Bongo ni za kimkakati sana 🐼
Mlale unono 😄
Unaonae faida kibao hakuna cha UTI wala fungus wala kutuma hela ya nauli. Chaputa iendelee.Na ht kama n ni wale wazee wa dkk 2 bado utakuwa na uwezo wa kujikadiria muda wa kumwaga
Mademu miyeyusho hawa, bora nyeto tuuUnaonae faida kibao hakuna cha UTI wala fungus wala kutuma hela ya nauli. Chaputa iendelee.
Hiyo ni jinai mshitaki ni Jamhuri, huyo mukaka ameyatimbaSi shahidi alie tendewa alifuta kesi kwamba anatumika kisiasa au wanatufanyia maigizo
Kahaba Kama kahaba wengine kibinti cha miaka 21 kuwa na mahusiana na me aliyemzidi miaka zaidi ya ishirini? Apewe ushauri gani ambao yeye haujui? Huyo kapinda hata wazazi wake wanajua.Wanaficha jina wakati tushajua ni tumsime Mathias, dah kwa hizo Mzee Mathias mtoto wake raia washamtoa rinda, huyo dada asipopewa physiological relief hili tukio linaweza kumuathiri sana
Nilifikiri pia utawaasa hao wasichana kuacha tamaa mbaya!iwe fundisho kwa viongozi wote wenye tabia ya uzinzi.
Viongozi wote ambao hawataki kutulia na familia zao lazima waumbuliwe.
Nawaasa wanawake wote ambao wamerubuniwa na mabosi/vigogo wawaumbuwe haraka.
Kuna tatizo kubwa sana kwa Dada zetu, mama zetu wanao soma na wanao fanya kazi maofisini na hata kwenye siasa wanadhalilishwa na kutumiwa kingono ili watimize malengo yao!!!!
Walalahoi ndio wanaokutwa na hatia hawa wengine wanaishia kwenye fedheha ndogo ndogo tu kama hizi za kuanikwa kwenye mediaAkikutwa na hatia, apewe miaka 30 kama wananchi wa kawaida wanavyopewa hizo mvua.
Anadai alibakwakwanza inakuwaje mpaka anaingizwa ndani anafanyiwa hayo mambo then baadae ndiyo anakuja kushitaki
alifosiwa kufanya mapenzi au ndiyo namna nyengine ya kuchafua watu?
Kanadai ni maagizo toka lumumbaAu haka kademu kametumwa na CHadema???
Halafu kwa UTI na fungus ndiyo vyenyeweBora angejitafutua lishangazi kama shishi angekuwa anajilia cim 2 bila kelele,vitoto vya chuo havina mpango
Kama kiongozi; kama msomi alitakiwa ajue ushenzi wa malaya na mengine mengi yanayowahusu! Badala yake malaya ndiye mjanja kuliko PhD! Ingekuwa ni Masai au Sukuma katoka kuuza ming'ombe huko kanasa kwa kahaba wala isingekuwa habari.Yule malaya mwanamke mshenzi sana
He, Kenan alibaka?Tushazoea hizo sarakasi za Lumumba.
Gekul yuko mtaani.
Sabaya yuko mtaani.
Makonda yuko mtaani
Kenan Kihongosi yuko mtaani.
Majizi, wauwaji, vibaka ni sehemu ya CCM huo ni upepo tu utavuma na mwisho wa siku utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi maana hakuna ushahidi wa kutosha kumtia mshtakiwa hatiani.
Ili waendeleze ubazazi waoMkuu aliyeko mtaani ni sabayq tu. Hao wengine tuliona kuwa mtaani haitoshi tukawapa na ofisi za imma.
Waje wakupe maua yako mkuuIli waje wanihukumu badae 😂