Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Wanaficha jina wakati tushajua ni tumsime Mathias, dah kwa hizo Mzee Mathias mtoto wake raia washamtoa rinda, huyo dada asipopewa physiological relief hili tukio linaweza kumuathiri sana
Kahaba Kama kahaba wengine kibinti cha miaka 21 kuwa na mahusiana na me aliyemzidi miaka zaidi ya ishirini? Apewe ushauri gani ambao yeye haujui? Huyo kapinda hata wazazi wake wanajua.
 
iwe fundisho kwa viongozi wote wenye tabia ya uzinzi.
Viongozi wote ambao hawataki kutulia na familia zao lazima waumbuliwe.

Nawaasa wanawake wote ambao wamerubuniwa na mabosi/vigogo wawaumbuwe haraka.

Kuna tatizo kubwa sana kwa Dada zetu, mama zetu wanao soma na wanao fanya kazi maofisini na hata kwenye siasa wanadhalilishwa na kutumiwa kingono ili watimize malengo yao!!!!
Nilifikiri pia utawaasa hao wasichana kuacha tamaa mbaya!
 
Yule malaya mwanamke mshenzi sana
Kama kiongozi; kama msomi alitakiwa ajue ushenzi wa malaya na mengine mengi yanayowahusu! Badala yake malaya ndiye mjanja kuliko PhD! Ingekuwa ni Masai au Sukuma katoka kuuza ming'ombe huko kanasa kwa kahaba wala isingekuwa habari.
 
Tushazoea hizo sarakasi za Lumumba.

Gekul yuko mtaani.

Sabaya yuko mtaani.

Makonda yuko mtaani

Kenan Kihongosi yuko mtaani.

Majizi, wauwaji, vibaka ni sehemu ya CCM huo ni upepo tu utavuma na mwisho wa siku utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi maana hakuna ushahidi wa kutosha kumtia mshtakiwa hatiani.
He, Kenan alibaka?
 
Back
Top Bottom