Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

kwanza inakuwaje mpaka anaingizwa ndani anafanyiwa hayo mambo then baadae ndiyo anakuja kushitaki

alifosiwa kufanya mapenzi au ndiyo namna nyengine ya kuchafua watu?
Sijui kwanini watanzania hamuelewi...hata mkeo wa nyumbani ukimwingilia kinyume akikushtaki ni kosa, ni kinyume na SHERIA za nchi...huyu dada halalamiki kuliwa mbele analalamika kuliwa nyuma
 
Hii ni Kesi nyepesi sana, Mtuhumiwa atashinda ingawa imemsababishia aibu na fedheha kwa Jamii na pia kumfukuzisha Ukuu wa Mkoa.

Atashinda kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mtuhumiwa alitenda hilo kosa, inawezekana vipimo vilionesha kuwa Mlalamikaji kaingiliwa kinyume na maumbile lakini ni ushahidi upi utathibitisha kuwa aliyetenda kosa hilo ni Mtuhumiwa?

Lakini pia naona Mlalamikaji hawezi kutoa ushirikiano kutokana na aibu lakini pia shinikizo kutoka Watu wengine ambao wapo upande wa Mtuhumiwa.
Bush lawyer katika ubora wako,hukusikia polisi waliposema wamechukua nguo za binti alizovaa siku ya tukio ili kwenda kupima DNA?
 
Manipulation of information and systematic intrusion of social engineering drivers indicate the wide large-scale repercussions in Tanzania..changing the face and dynamics of Social relations, governmental structure, political and ethnic contexts , economic and etc
 
Naitun
Tushazoea hizo sarakasi za Lumumba.

Gekul yuko mtaani.

Sabaya yuko mtaani.

Makonda yuko mtaani

Kenan Kihongosi yuko mtaani.

Majizi, wauwaji, vibaka ni sehemu ya CCM huo ni upepo tu utavuma na mwisho wa siku utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi maana hakuna ushahidi wa kutosha kumtia mshtakiwa hatiani.
Naitunza hii post kwa rejea
 
bismillah-e1665746633396-1024x201.png

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufanya liwati duniania na Aakhirah?
Jibu: Hukumu yake duniani, ikithibiti kuwa amefanya hivo ima kwa kukubali mwenyewe au ubainifu, ni kuwa anauawa[1]. Hii ndio hukumu yake duniani kwa njia ya hadd. Kwa njia ya Dini ni kwamba anakuwa fasiki na ushuhuda wake haukubaliwi. Anakuwa fasiki miongoni mwa mafusaki na mfanya dhambi kubwa miongoni mwa madhambi yenye fedheha kubwa baada ya shirki. Ushuhuda wake haukubaliwi mpaka atubu kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Ama kuhusu Aakhirah, jambo lake liko kwa Allaah. Aakhirah ni katika watu wenye dhambi kubwa ilio chini ya shirki. Isipokuwa ikiwa kama anahalalisha liwati, katika hali hii anakuwa kafiri hata kama yeye mwenyewe hakufanya liwati. Akisema kuwa liwati ni halali, huyu ni kafiri mwenye kuritadi katika Dini ya Uislamu. Aambiwe kutubu la sivyo auawe kwa njia ya kuritadi.
UKIRISTO UNASEMAJE?
Noma sana, kwa hiyo Allah anakuwa amekaa na makabrasha yake!
 
Jinai ni kosa dhidi ya Jamhuri na ni Jamhuri (kupitia DPP) ndiyo yenye uwezo wa "kutokuwa na nia" ya kuendelea na kesi. In short, kwa jicho la kisheria, aliyeingiliwa na Dr. Nawanda ni Jamhuri na sio huyo demu!
 
Jinai ni kosa dhidi ya Jamhuri na ni Jamhuri (kupitia DPP) ndiyo yenye uwezo wa "kutokuwa na nia" ya kuendelea na kesi. In short, kwa jicho la kisheria, aliyeingiliwa na Dr. Nawanda ni Jamhuri na sio huyo demu!
Hahaaaaaaaaa we jamaaa eti Jamu imefanywaje?
 
Back
Top Bottom