Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Lazima nije kukuona Yahya nikuletee uji wa tembele ulainishe utumbo ,vijana wa KM humo mahabusu waishi na wewe wima ,Karma is bitch bro ,naandika hapa utayakuta ukitoka huko .
Sifurahii wewe kuwepo huko Ila naumia ulinitendea ubaya na bado ukanigalagaza Kama vile hunijui kisa vibinti vya masijala ,Kaka jela ni njia ,zamu yangu ilifika nikapita Sasa ni zamu yako ndugu ,vumilia ,yatakwisha .
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
Mwingine huyu hapa 👇

View: https://twitter.com/millardayo/status/1801237692459479152?t=B0gPnEFA9X0FalnL17jsEQ&s=19
 
DNA haijawahi kumwacha mtu salama wewe. Hadi gari ya jamaa imezuliwa polisi unadhani kwanini? Vipimo vitachukuliwa siti ya nyuma ku-trace DNA za wote wawili hapo kwenye siti kupitia "maji maji" ya miili yao yaliyodondoka hapo!

Usicheze na teknolojia ilishawahi kumwaibisha hadi Rais wa Marekani hivi hivi. Ulishawahi kusikia habari za Monica Lewinsky? Google.
Duu! Hatari sana, huyu kachezeshewa tu na Wajanja, ni ngumu sana Mwanamke kutangaza kitu kama hicho ukizingatia hakubakwa!
 
Duu! Hatari sana, huyu kachezeshewa tu na Wajanja, ni ngumu sana Mwanamke kutangaza kitu kama hicho ukizingatia hakubakwa!
Ukishakuwa kiongozi au status fulani katika jamii unapaswa kujichunga sana otherwise wahuni watapita humo humo kwenye madhaifu yako kukuaibisha.

Dr. Nawanda siku ya tukio angekuwa nyumbani na familia yake wangempataje? Ila kwa kuwa aliamua kuingia "disko" hizo ndio gharama anatakiwa kulipa.
 
Hebu tumuonee jamani, woiiiiih
IMG-20240612-WA0037.jpg
 
Ukishakuwa kiongozi au status fulani katika jamii unapaswa kujichunga sana otherwise wahuni watapita humo humo kwenye madhaifu yako kukuaibisha.

Dr. Nawanda siku ya tukio angekuwa nyumbani na familia yake wangempataje? Ila kwa kuwa aliamua kuingia "disko" hizo ndio gharama anatakiwa kulipa.
Ni kweli, wengine wanatakiwa kujifunza kupitia hili, huenda kuna Jimbo alikuwa anapitapita kwa ajili ya kugombea uchaguzi ujao, Wajanja wamekula kichwa..
 
Back
Top Bottom