Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Tushazoea hizo sarakasi za Lumumba.

Gekul yuko mtaani.

Sabaya yuko mtaani.

Makonda yuko mtaani

Kenan Kihongosi yuko mtaani.

Majizi, wauwaji, vibaka ni sehemu ya CCM huo ni upepo tu utavuma na mwisho wa siku utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi maana hakuna ushahidi wa kutosha kumtia mshtakiwa hatiani.
Mkuu aliyeko mtaani ni sabayq tu. Hao wengine tuliona kuwa mtaani haitoshi tukawapa na ofisi za imma.
 
huyo Dada inaonekana kaamua kumkaanga jamaa, baada ya wao kushindwa kufikia makubaliano, kumfir@ mwanamke kwenye gari kama sio mzoefu ni ngumu sana, hapo huyo Dada hana malinda kitambo tu inaonesha
 
Namna nzuri ya kumsafisha Mhe. RC mtumbuliwa. Polisi wataendesha kesi mpango utasukwa huko ndani na mlawitiwa atapigwa mkwala mzito. Majibu ya upelelezi yatatoka kuwa tuhuma zilikuwa za uongo.
Angalau hapo Nawanda atakuwa amepiga hatua kidogo
 
Bora fedheha ya punyeto kuliko fedheha za namna hii
bismillah-e1665746633396-1024x201.png

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufanya liwati duniania na Aakhirah?
Jibu: Hukumu yake duniani, ikithibiti kuwa amefanya hivo ima kwa kukubali mwenyewe au ubainifu, ni kuwa anauawa[1]. Hii ndio hukumu yake duniani kwa njia ya hadd. Kwa njia ya Dini ni kwamba anakuwa fasiki na ushuhuda wake haukubaliwi. Anakuwa fasiki miongoni mwa mafusaki na mfanya dhambi kubwa miongoni mwa madhambi yenye fedheha kubwa baada ya shirki. Ushuhuda wake haukubaliwi mpaka atubu kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Ama kuhusu Aakhirah, jambo lake liko kwa Allaah. Aakhirah ni katika watu wenye dhambi kubwa ilio chini ya shirki. Isipokuwa ikiwa kama anahalalisha liwati, katika hali hii anakuwa kafiri hata kama yeye mwenyewe hakufanya liwati. Akisema kuwa liwati ni halali, huyu ni kafiri mwenye kuritadi katika Dini ya Uislamu. Aambiwe kutubu la sivyo auawe kwa njia ya kuritadi.
UKIRISTO UNASEMAJE?
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
Kazi kweli kweli
 
Hii ni Kesi nyepesi sana, Mtuhumiwa atashinda ingawa imemsababishia aibu na fedheha kwa Jamii na pia kumfukuzisha Ukuu wa Mkoa.

Atashinda kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mtuhumiwa alitenda hilo kosa, inawezekana vipimo vilionesha kuwa Mlalamikaji kaingiliwa kinyume na maumbile lakini ni ushahidi upi utathibitisha kuwa aliyetenda kosa hilo ni Mtuhumiwa?

Lakini pia naona Mlalamikaji hawezi kutoa ushirikiano kutokana na aibu lakini pia shinikizo kutoka Watu wengine ambao wapo upande wa Mtuhumiwa.
Mkuu vipimo vya DNA vilishafanywa.
Hakuna namn
 
bismillah-e1665746633396-1024x201.png

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufanya liwati duniania na Aakhirah?
Jibu: Hukumu yake duniani, ikithibiti kuwa amefanya hivo ima kwa kukubali mwenyewe au ubainifu, ni kuwa anauawa[1]. Hii ndio hukumu yake duniani kwa njia ya hadd. Kwa njia ya Dini ni kwamba anakuwa fasiki na ushuhuda wake haukubaliwi. Anakuwa fasiki miongoni mwa mafusaki na mfanya dhambi kubwa miongoni mwa madhambi yenye fedheha kubwa baada ya shirki. Ushuhuda wake haukubaliwi mpaka atubu kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Ama kuhusu Aakhirah, jambo lake liko kwa Allaah. Aakhirah ni katika watu wenye dhambi kubwa ilio chini ya shirki. Isipokuwa ikiwa kama anahalalisha liwati, katika hali hii anakuwa kafiri hata kama yeye mwenyewe hakufanya liwati. Akisema kuwa liwati ni halali, huyu ni kafiri mwenye kuritadi katika Dini ya Uislamu. Aambiwe kutubu la sivyo auawe kwa njia ya kuritadi.
UKIRISTO UNASEMAJE?
Utajua mwnyw na ugaidi wenu.
 
Utajua mwnyw na ugaidi wenu.
Katika Agano la Kale, adhabu ya kulawiti na dhambi nyingine zinazohusiana na ngono ilikuwa kali sana. Kwa mfano, katika Kitabu la Mambo ya Walawi 20:13, inasema: "Mtu akilala na mwanamume kama vile alivyolala na mwanamke, wote wawili wametenda machukizo. Hakika watauawa, damu yao ni juu yao."
 
Na unaweza kukuta bajeti isijadaliwe kabisa kulingana na mwenendo wa heka heka za RC Yahaya utakavyokuwa

Siasa za Bongo ni za kimkakati sana 🐼

Mlale unono 😄
Ni kwa sababu wanajua hiyo bajeti ni uongo na utapeli tuu wa CCM.
Personally ni mda Mrefu sijafuatilia bajeti. Sote tunajua ni uongo.
 
Back
Top Bottom