Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Wengine wanaompakua tope kwanini hawapeleki Polisi? Jibu swali
Kwa kuwa hapeleki wengine polisi na wewe hutakiwi kupelekwa polisi? Unao ushahidi kwamba anapakuliwa na wwngine kama unavyodai? Hata kama ingekuwa hivyo sio tiketi ya wewe kumbaka! Utetezi wa ajabu kabisa.
 
Wanaficha jina wakati tushajua ni tumsime Mathias, dah kwa hizo Mzee Mathias mtoto wake raia washamtoa rinda, huyo dada asipopewa physiological relief hili tukio linaweza kumuathiri sana
Nimeshangaa watetezi ndiyo wanazidi kumuumiza kwa kumtaja jina na kubandika picha zake.
 
Kwa kuwa hapeleki wengine polisi na wewe hutakiwi kupelekwa polisi? Unao ushahidi kwamba anapakuliwa na wwngine kama unavyodai? Hata kama ingekuwa hivyo sio tiketi ya wewe kumbaka! Utetezi wa ajabu kabisa.
Wewe yale matikiti hayajaanza kupasuliwa leo msituone Sisi watoto, hawa Wanawake wa namna hii wana agenda zao nyingi za Siri Pesa mbele ikiwezekana hata kwa kuuza kinyeo ukifukua mafaili utapagawa ukijua
 
Ndio utetezi mbele ya mahakama huo?
 
Nisichoelewa Huyo binti Alifikaje kwenye Gari ya RC? Mtu ambae Analawitiwa kwa nguvu hata ikiwa chumbani si Jambo Rahisi najiuliza lwa nafasi ndogo Garini iliwezekana vipi kama hakutoa ushirikiano? Unataka unambie Alivuliwa nguo kwa nguvu garini?
 
Nimeshangaa watetezi ndiyo wanazidi kumuumiza kwa kumtaja jina na kubandika picha zake.
Limuathiri vipi wakati yeye mwenyewe kaenda kuliadres public.. huyo ni Malaya pro anatumiwa na watu kuharibu taswira za watu kisiasa na kijamii. Hiyo ni biashara tena wanaume tuwe makini sana na Hawa watoto wa 2000s wanatamaa hatari.
 
Dah Nawandaaaa we chiliwe omwana nawandaa weee chihipu chinonje lcha chuo nawandaaa🥲🥲🥲
 
Back
Top Bottom