Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Nisichoelewa Huyo binti Alifikaje kwenye Gari ya RC? Mtu ambae Analawitiwa kwa nguvu hata ikiwa chumbani si Jambo Rahisi najiuliza lwa nafasi ndogo Garini iliwezekana vipi kama hakutoa ushirikiano? Unataka unambie Alivuliwa nguo kwa nguvu garini?
🤝
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
Kwa utawala wa Ccm hii sio stori.
Wako kina Sabaya na kina Gerkul walifanya mambo ya ajabu kuna walio safishwa na mahakama na wengine kufutiwa kesi mapema sana na Dpp.
Yetu ni macho tusubiri tuone
 
Nisichoelewa Huyo binti Alifikaje kwenye Gari ya RC? Mtu ambae Analawitiwa kwa nguvu hata ikiwa chumbani si Jambo Rahisi najiuliza lwa nafasi ndogo Garini iliwezekana vipi kama hakutoa ushirikiano? Unataka unambie Alivuliwa nguo kwa nguvu garini?
Hata kama aliridhia ila nafasi ya mlawiti inaweza tumika kubaka.
MFano mfogo ni boss akimla mfanyakaz wake. Mfanyakaza akienda shtaki kabakwa.
Hatia ipo
 
Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliwa
Aisee 🙄
Adui yako mwombee njaa na Pesa ni shetani
 
Si shahidi alie tendewa alifuta kesi kwamba anatumika kisiasa au wanatufanyia maigizo
Wafadhili, mkuu '7ve', wafadhili.

Si unaona sarakasi zilizokuwa zimeanza kusukwa?
Lakini kila walivyo jaribu kuligeuza hili janga ikawa hakuna namna ya kuvunga na kubaki na maigizo ya 'utawala bora""

Kuliko kujiharibia jina, ni bora zaidi kumtupa huyo mhusika chini ya SGR, atajiju mwenyewe.
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
Siasa hizo!!

Kawapimeni wanafunzi wote muone kama hamjazimia!!! Siasa tu hizo za kibongo
 
Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliwa
Kinyesi kinatoka kwenye Mifugo!! SEMA MAVI
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
Pole yake
 
kwanza inakuwaje mpaka anaingizwa ndani anafanyiwa hayo mambo then baadae ndiyo anakuja kushitaki

alifosiwa kufanya mapenzi au ndiyo namna nyengine ya kuchafua watu?
Kisaikolojia hilo linaweza kuwa limetokana na majibizano waliofanya kwenye simu baada ya tendo.

Yawezekana dada kuna lawama alikuwa anatoa na MH. Akawa anajibu shit
 
Siasa hizo!!

Kawapimeni wanafunzi wote muone kama hamjazimia!!! Siasa tu hizo za kibongo
Comment Bora ya Mwaka 2024 kwangu Mimi labda KIDOGO na Max na Fred, who's Fred? "Fred was my homie, my day 1 n-gga" (in Zizi Voice) God is good all the time 🙏🏼
 
Kama alifanya kitendo hicho apate sitahili yake!
Ingawa kwa mazingira ya kesi yenyewe yalivyo na ukizingatia rushwa ipo huenda akaachiwa huru!
 
Back
Top Bottom