Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Hio kurasa HAIPO bonyeza linkwakuu mukimaliza kusoma piteni na hapa munipigie kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio kurasa HAIPO bonyeza linkwakuu mukimaliza kusoma piteni na hapa munipigie kura
Hio kurasa HAIPO bonyeza link
Nataka Ile ya TASAF kulipia sijui nini Hela wanazopewa Kaya Masikini wawe na utaratibu wa kuzirudisha sijui nini emu nipe HIOSoC04 - Serikali iwaunganishie wananchi umeme bure, wakatwe kwenye luku. TASAF iweke utaratibu wa kuzilipia kaya masikini
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa sana kwa mujibu wa Tovuti rasmi ya Tanesco imeweka gharama za kuunganishiwa umeme ni kama ifuatavyo...www.jamiiforums.com
Huyu aliondolewa uDC kipindi cha Magufuli, alirudishwaje? anasifa gani pekee ambazo wengine hawana..lakini tatizo siyo kina nawanda tatizo liko kwa mteuzi na watu wake..jinai kama hizi ni hulka ya mtu, wnapitaje vetting watu wa aina hii km sio connection, hapo ikulu kuna connection za kihalifu, mtu km Hamsini yule DED Arusha, aliondolewa baada ya kutoka serengeti..nani alimrudisha, na kwa sifa zipi? binafsi sijawahi kuwaamini waislam hii ni kutokana na wengi wao kuwa na tatizo kwenye malezi, na imani yao indirectly inafundisha au inatetea mambo mabaya kwa wengine hata kama kwao kiimani ni mazuri.. ukatili, unafiki, ubinafsi, chuki kwa watu wengine, ushirikina, kisasi, kutojali, wanapenda fujo nk na wengi bila kujua hata km ni wa imani zingine wanabehave km waislam..waislamu wengi hawana uwezo na sifa kuwa viongozi, angalia nchi km sudani..wao kwa wao wanamalizana, somalia, chad nk na wako wengi sana kina nawanda kwenye uongozi..wao uongozi ni sifa na kula, si kutumikia watu! chunguza vzr utaona ninachosema..Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.
Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana na tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.
Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
Pia soma:
hiyo sijaiona mbonaNataka Ile ya TASAF kulipia sijui nini Hela wanazopewa Kaya Masikini wawe na utaratibu wa kuzirudisha sijui nini emu nipe HIO
Sijaona KITU km HICHO zaidi ya heading
Angalia vizuri utaona Si umeandika mwenyewe au umeandikiwa?hiyo sijaiona mbona
hapana mimi sijaandika hivyo mkuu. mimi nimeandika zile hela wanazopewa waezeshwe kuunganishiwa umemeAngalia vizuri utaona Si umeandika mwenyewe au umeandikiwa?
SIO kwamba wawe wanazirudisha maana wanapewa bure kwa Msaada wa watu wa huko ulayahapana mimi sijaandika hivyo mkuu. mimi nimeandika zile hela wanazopewa waezeshwe kuunganishiwa umeme
Ya Gekul ile yule mama alifanya umafiya.Kabisa hata mi kwa mtizamo wangu naona kesi ya yule mbunge wa babati Pauline Gekul ni mbaya kuliko ya huyu
Ingekua ndio Wewe umeliwa kisamvu ungeandika barua?Mh aibu hii
Kesi ya kula kisamvu cha kopo
Hapana.SIO kwamba wawe wanazirudisha maana wanapewa bure kwa Msaada wa watu wa huko ulaya
Siwezi sema lolote kwakuwa sio Mimi boss niliyeliwaIngekua ndio Wewe umeliwa kisamvu ungeandika barua?
Kijana kuingiziwa chupa mkunduni na kahaba kufirwa na hawara yake ipi ina ukakasi?ni kwasababu tu hujui, huyu adhabu yake ni 30, wakati gekul kati ya 15 hadi 20 huko.
Hakika mkuu nakubaliana na weweYa Gekul ile yule mama alifanya umafiya.
Ila ya huyu tamaa za huyu binti,kama asingejihusisha na mahusiano ya kimapenzi na huyu kiongozi tokea mwanzo haya yasingetokea.
Si mara zote Sheria hutenda haki, unaweza ukawa na haki lakini Sheria ikapindishwa..Mbona unarahisisha sana mambo?Hizi siyo zama za 1706!Unalijua hilo?
Kwani swichi za binti zipo on?Siwezi sema lolote kwakuwa sio Mimi boss niliyeliwa
Alaf huyu RC mbona kama ameunganishwa na grid ya taifa?