Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliwa
Jamani shetani ana nguvu sana kwahiyo RC alikuwa anatifua mavi? Dah! Very disgressive
 
Je? Alifanikiwa kufanya hivo, au alikuwa anajaribu tu, au aliteleleza.

Nani aliyetoa taaaifa?

Naombeni majib
Baada ya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za aliye wahi kuwa mkuu wa mkoa wa simiyu kula kisamvu vha mwanafunzi wa chuo mahakama imethibitisha pasipo na shaka kuwa mtuhumia hana hatia na imemwachia huru kwani aliye dhaniwa ni mwanafunzi wa chuo alidanganya mahakama kwa lengo la kujipatia fedha …mwishi wakunukuuu
 
Ndio utetezi mbele ya mahakama huo?
Watu wengi sana wanaenda jela kipuuzi mno kwa kujifanya wajuaji kumbe hawajui. Siku wanawake wa Tanzania wakiamua kuamka watu wengi sana wataenda jela kwa makosa yanayohusiana na ngono.
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana na tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
kama sabaya yupo njee haya mengine maigizo tu
cc.
said mohamed mtanda zile laki sita zimeliwa bure?
 
Huyu aliondolewa uDC kipindi cha Magufuli, alirudishwaje? anasifa gani pekee ambazo wengine hawana..lakini tatizo siyo kina nawanda tatizo liko kwa mteuzi na watu wake..jinai kama hizi ni hulka ya mtu, wnapitaje vetting watu wa aina hii km sio connection, hapo ikulu kuna connection za wizi, mtu km Hamsini yule DED Arusha, aliondolewa baada ya kutoka serengeti..nani alimrudisha, na kwa sifa zipi? binafsi sijawahi kuwaamini waislam hii ni kutokana na wengi wao kuwa na tatizo kwenye malezi, na imani yao indirectly inafundisha ukatili, ubinafsi, chuki kwa watu wengine, kisasi, kutojali, wanapenda fujo nk na wengi bila kujua hata km ni wa imani zingine wanabehave km waislam..waislamu wengi hawana uwezo na sifa kuwa viongozi, angalia nchi km sudani..wao kwa wao wanamalizana, somalia, chad nk na wako wengi sana kina nawanda kwenye uongozi..wao uongozi ni sifa na kula, si kutumikia watu! chunguza vzr utaona ninachosema..
Umeandika mengi ila sio mahala pake, uislami unahusiana nini na hizo tuhuma zake.

Jitahidi kupunguza mihemko kwenye mambo sirias.
 

Tunaita HALO ERROR.... yaani mtu akiwa mzuri kwenye jambo moja basi inaficha ubaya kwenye jambo jingine. Kwamba akiwa mchapa kazi hawezi kuwa fisadi? Hata Lumumba licha ya kupinga ukoloni alikua anahusudu umalaya sana, hata akienda nchi za ulaya anataka aletewa makahaba wa kizungu. Kwahiyo uzuri upande mmoja haufuti mabaya upande wa pili
 
Huyu aliondolewa uDC kipindi cha Magufuli, alirudishwaje? anasifa gani pekee ambazo wengine hawana..lakini tatizo siyo kina nawanda tatizo liko kwa mteuzi na watu wake..jinai kama hizi ni hulka ya mtu, wnapitaje vetting watu wa aina hii km sio connection, hapo ikulu kuna connection za kihalifu, mtu km Hamsini yule DED Arusha, aliondolewa baada ya kutoka serengeti..nani alimrudisha, na kwa sifa zipi? binafsi sijawahi kuwaamini waislam hii ni kutokana na wengi wao kuwa na tatizo kwenye malezi, na imani yao indirectly inafundisha au inatetea mambo mabaya kwa wengine hata kama kwao kiimani ni mazuri.. ukatili, unafiki, ubinafsi, chuki kwa watu wengine, ushirikina, kisasi, kutojali, wanapenda fujo nk na wengi bila kujua hata km ni wa imani zingine wanabehave km waislam..waislamu wengi hawana uwezo na sifa kuwa viongozi, angalia nchi km sudani..wao kwa wao wanamalizana, somalia, chad nk na wako wengi sana kina nawanda kwenye uongozi..wao uongozi ni sifa na kula, si kutumikia watu! chunguza vzr utaona ninachosema..
Udini unaingiaje hapa? Mimi ni mkristo ila nikwambie ukweli kabisa ukikutana na muislam mshika dini huwa hana roho mbaya. Hata tu muone JK, Samia na mwinyi uliwahi ona wanamdhalilisha mtu au kufoka foka kulinganisha na Mkapa au JPM?

So ikija kwenye ukatili sidhani kama waislam wapo. Hao Al shabaab sijui ISIS ni extremists tu wala sio washika dini. So lazima useme madaraka yanamharibu mtu ila sio dini
 
Umeandika mengi ila sio mahala pake, uislami unahusiana nini na hizo tuhuma zake.

Jitahidi kupunguza mihemko kwenye mambo sirias.
Kuna mahusiano kati ya tabia, maneno na malezi, imani aliyonayo mhusika..mambo ya nje kama wizi, uongo, ukatili, kutojali yana msukumo kutoka ndani ambako malezi na imani vinakaa..
 
Hii ni Kesi nyepesi sana, Mtuhumiwa atashinda ingawa imemsababishia aibu na fedheha kwa Jamii na pia kumfukuzisha Ukuu wa Mkoa.

Atashinda kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mtuhumiwa alitenda hilo kosa, inawezekana vipimo vilionesha kuwa Mlalamikaji kaingiliwa kinyume na maumbile lakini ni ushahidi upi utathibitisha kuwa aliyetenda kosa hilo ni Mtuhumiwa?

Lakini pia naona Mlalamikaji hawezi kutoa ushirikiano kutokana na aibu lakini pia shinikizo kutoka Watu wengine ambao wapo upande wa Mtuhumiwa.
Mkuu kinachofanyika ni hivi
Binti anachunguzwa kama kaingiliwa
Pia kama wakikuta mbegu au sampuli ya aina yoyote ile ambayo itashukiwa ni ya mlawiti itachukuliwa na kupima vina saba.

Pia watackukua sampuli toka kwa mlawiti nazo watapima vina saba kulinganisha na lolokuta eneo la tukio/kwenye mwili wa mlawitiwa vikiungana tuu au visipoungana daktari ataandika alichokiona vitafungwa kwenda mahakamani

Siku waktaka ushahidi wa mtaalam ndo anakuja fungua ushahid wake na kusema nini aliona baada ya uchunguzi


Mfano
1. Aliona mchubuko sehemu ya haja kubwa.
2. Alikuta mbegu za kiume. Na baada ya kuzipima na kupima za mlalamikiwa ziliendana au la!
3. Recomendetion yake kama mtaalam baada ya hapo mahakama ikiunganisha na ushahidi mwingne ambao inakuwa ishausikiliza ndo inasema kuwa mtuhumiwa anatiwa hatiani ama la!

Makosa kama haya ya penetration kama nipendavyo kuyaita. Kuchomoka na kutiwa hatiani ni 50 kwa 50 yan mtaalam akithibitisha tuuuu umepona au umekufa
 
Back
Top Bottom