balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Na huko upoAkikutwa na hatia, apewe miaka 30 kama wananchi wa kawaida wanavyopewa hizo mvua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huko upoAkikutwa na hatia, apewe miaka 30 kama wananchi wa kawaida wanavyopewa hizo mvua.
Jamani shetani ana nguvu sana kwahiyo RC alikuwa anatifua mavi? Dah! Very disgressiveAlifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea
Taarifa alitoa dada muinguliwa
Ni maigizo; anafanya maigizo. Dola wakishashughulika naye vizuri ukweli utabainika tuMaisha ni fumbo kubwa sana .Juzi juzi alikuwa mkuu wa mkoa leo anaenda kulala mahabusu.
Ndio kayatimba sasa, alafu nawaza ile mimavi mavi waliifutia wapi kwenye gari.. maana lazima pipe ilitoka na haja.. na mwanamke nae nyaa lazima ilitoka.. yani watu wachafu sana.. hiyo gari itakuwa inanukia mavi tuLabla alitaka kuona na huko nyuma kama kuna utamu kama wa k
Baada ya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za aliye wahi kuwa mkuu wa mkoa wa simiyu kula kisamvu vha mwanafunzi wa chuo mahakama imethibitisha pasipo na shaka kuwa mtuhumia hana hatia na imemwachia huru kwani aliye dhaniwa ni mwanafunzi wa chuo alidanganya mahakama kwa lengo la kujipatia fedha …mwishi wakunukuuuJe? Alifanikiwa kufanya hivo, au alikuwa anajaribu tu, au aliteleleza.
Nani aliyetoa taaaifa?
Naombeni majib
Tena hapo katenda makosa mawili, kubaka na kulawiti atapata tabu sana.Ulawiti ni kosa la jinai ndio maana RC kadakwa. Hata ukimlawiti kahaba Hilo ni kosa
Watu wengi sana wanaenda jela kipuuzi mno kwa kujifanya wajuaji kumbe hawajui. Siku wanawake wa Tanzania wakiamua kuamka watu wengi sana wataenda jela kwa makosa yanayohusiana na ngono.Ndio utetezi mbele ya mahakama huo?
Utaenda jela kipuuzi mno wewe.Ndio
Case closed!
kama sabaya yupo njee haya mengine maigizo tuJeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.
Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana na tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.
Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
Pia soma:
Wewe ni mpumbavu zaidi hata ya aliyefanya upumbavu wa kulawiti..igiza wewe au mwanao kulawitiwa sababu ni kitu chepesi km unavyosema maigizo.Ni maigizo; anafanya maigizo. Dola wakishashughulika naye vizuri ukweli utabainika tu
Mtanda naye kafanyaje tena huko jamani?kama sabaya yupo njee haya mengine maigizo tu
cc.
said mohamed mtanda zile laki sita zimeliwa bure?
Umeandika mengi ila sio mahala pake, uislami unahusiana nini na hizo tuhuma zake.Huyu aliondolewa uDC kipindi cha Magufuli, alirudishwaje? anasifa gani pekee ambazo wengine hawana..lakini tatizo siyo kina nawanda tatizo liko kwa mteuzi na watu wake..jinai kama hizi ni hulka ya mtu, wnapitaje vetting watu wa aina hii km sio connection, hapo ikulu kuna connection za wizi, mtu km Hamsini yule DED Arusha, aliondolewa baada ya kutoka serengeti..nani alimrudisha, na kwa sifa zipi? binafsi sijawahi kuwaamini waislam hii ni kutokana na wengi wao kuwa na tatizo kwenye malezi, na imani yao indirectly inafundisha ukatili, ubinafsi, chuki kwa watu wengine, kisasi, kutojali, wanapenda fujo nk na wengi bila kujua hata km ni wa imani zingine wanabehave km waislam..waislamu wengi hawana uwezo na sifa kuwa viongozi, angalia nchi km sudani..wao kwa wao wanamalizana, somalia, chad nk na wako wengi sana kina nawanda kwenye uongozi..wao uongozi ni sifa na kula, si kutumikia watu! chunguza vzr utaona ninachosema..
Udini unaingiaje hapa? Mimi ni mkristo ila nikwambie ukweli kabisa ukikutana na muislam mshika dini huwa hana roho mbaya. Hata tu muone JK, Samia na mwinyi uliwahi ona wanamdhalilisha mtu au kufoka foka kulinganisha na Mkapa au JPM?Huyu aliondolewa uDC kipindi cha Magufuli, alirudishwaje? anasifa gani pekee ambazo wengine hawana..lakini tatizo siyo kina nawanda tatizo liko kwa mteuzi na watu wake..jinai kama hizi ni hulka ya mtu, wnapitaje vetting watu wa aina hii km sio connection, hapo ikulu kuna connection za kihalifu, mtu km Hamsini yule DED Arusha, aliondolewa baada ya kutoka serengeti..nani alimrudisha, na kwa sifa zipi? binafsi sijawahi kuwaamini waislam hii ni kutokana na wengi wao kuwa na tatizo kwenye malezi, na imani yao indirectly inafundisha au inatetea mambo mabaya kwa wengine hata kama kwao kiimani ni mazuri.. ukatili, unafiki, ubinafsi, chuki kwa watu wengine, ushirikina, kisasi, kutojali, wanapenda fujo nk na wengi bila kujua hata km ni wa imani zingine wanabehave km waislam..waislamu wengi hawana uwezo na sifa kuwa viongozi, angalia nchi km sudani..wao kwa wao wanamalizana, somalia, chad nk na wako wengi sana kina nawanda kwenye uongozi..wao uongozi ni sifa na kula, si kutumikia watu! chunguza vzr utaona ninachosema..
Kuna mahusiano kati ya tabia, maneno na malezi, imani aliyonayo mhusika..mambo ya nje kama wizi, uongo, ukatili, kutojali yana msukumo kutoka ndani ambako malezi na imani vinakaa..Umeandika mengi ila sio mahala pake, uislami unahusiana nini na hizo tuhuma zake.
Jitahidi kupunguza mihemko kwenye mambo sirias.
mtanda ndo aliiiyekuwa mshenga hadi akasimamia malipo ya 650000 ili bint akafute kesi. ndo maana akaandika ile baruaMtanda naye kafanyaje tena huko jamani?
Mkuu kinachofanyika ni hiviHii ni Kesi nyepesi sana, Mtuhumiwa atashinda ingawa imemsababishia aibu na fedheha kwa Jamii na pia kumfukuzisha Ukuu wa Mkoa.
Atashinda kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja kwamba Mtuhumiwa alitenda hilo kosa, inawezekana vipimo vilionesha kuwa Mlalamikaji kaingiliwa kinyume na maumbile lakini ni ushahidi upi utathibitisha kuwa aliyetenda kosa hilo ni Mtuhumiwa?
Lakini pia naona Mlalamikaji hawezi kutoa ushirikiano kutokana na aibu lakini pia shinikizo kutoka Watu wengine ambao wapo upande wa Mtuhumiwa.
Mi siamini kama anaweza kamatwa, hiyo polisi ni nani wa kumkamata mwana mfumo?Siamini kama anaweza fanya hii ishu...anywys