Yahaya:nyimbo mpya ya jide full vijembe

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Leo nilikuwa nasoma nyimbo mpya ya mwanadada aliyerudi kwa kasi kwenye bongo fleva judith wambura ukipenda mwite jide au binti commando au ANACONDA.mashairi ya huu wimbo mpya ambao utatolewa soon baada ya uzinduzi wa albam NOTHING BUT THE TRUTH.hii nyimbo inaitwa YAHAYA,huyu kijana ni mtu ambaye anajifanya baab kubwa apa mjini,ni kijana mtanashati sana anavyodai yeye anafany kazi usalama wa taifa kumbe misheni town hana mbele wala nyuma,anajifanya anaish masaki kumbe anakaa kinondoni na nyumba anayoisha aieleweki,ni mtu wa kutanganga tu apa town,duuh hii nyimbo imejaa sana vijembe sijui apa jide kamlenga nani,ila imenivutia sana,coz wakina yahaya apa town ni wengi sana,keep it up jide I hope itabambaaaa..
 
Tuwekee humu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
huyo yahaya lazima atakua miongoni mwa watoto wa darajani wera werah.
 
CHORUS:yahaya unaishi wapi
kwani jina lako halisi nani yahaya eeeh
Oooh yahaya maskani yako kinondoni
nyumba namba haijulikani
yahaya eeh ooh yahaya
VERSE:huyu kijana mwenzetu
kila siku tupo nae maskani
anakula ofa za watu
anapishi hata hapajulikani
Tumetafuta tumeiliza hakuna ajuae
Anavyozuga anavyopita si umdhaniae na hafananii kabisaa na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina unaingia kingi
Kumbe hana helaa..
 
VERSE 2:kwa story za vilingeni
Utafikiri kweli yeye ndo boss
Suruali zake na mashati
Unasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa taifa
Hakuna hajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Usomdhaniae na hafananii kabisa na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina unaingia kingi unamfuata
Kumbe hana helaaa yahaya ooh .
 
masikini Kasaloo Kyanga. mabongo fleva wanamuibia wimbo wake wa Kalubandika
 
Mtoto SIDE kaleta balaa!!! Mtoto SIDE kaleta Mikosi!!!
 

nikuweke sawa hapo kwenye BLUE NA GREEN,
KWA KISWAHILI FASAHA NYIMBO NI WINGI WA WIMBO,KWA UMOJA HUITWA WIMBO WINGI NYIMBO,SO WIMBO NI UMOJA,NYIMBO NI WINGI.
UFAFANUZI ZAID WIMBO NI NOMINO ILIYO NGELI YA U-ZI maana yake ni kwamba,,,,
angalia hii sentensi:WIMBO WA YAHYA UNA VIJEMBE(UMOJA)
WIMGI UNAPASWA KUSEMA NYIMBO ZA YAHYA ZINA VIJEMBE)
KISWAHILI LUGHA MARIDHAWA
 

cc kwa Fadhil TOZIR MALEKELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…