warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Leo nilikuwa nasoma nyimbo mpya ya mwanadada aliyerudi kwa kasi kwenye bongo fleva judith wambura ukipenda mwite jide au binti commando au ANACONDA.mashairi ya huu wimbo mpya ambao utatolewa soon baada ya uzinduzi wa albam NOTHING BUT THE TRUTH.hii nyimbo inaitwa YAHAYA,huyu kijana ni mtu ambaye anajifanya baab kubwa apa mjini,ni kijana mtanashati sana anavyodai yeye anafany kazi usalama wa taifa kumbe misheni town hana mbele wala nyuma,anajifanya anaish masaki kumbe anakaa kinondoni na nyumba anayoisha aieleweki,ni mtu wa kutanganga tu apa town,duuh hii nyimbo imejaa sana vijembe sijui apa jide kamlenga nani,ila imenivutia sana,coz wakina yahaya apa town ni wengi sana,keep it up jide I hope itabambaaaa..