Yahisiwa kuvujishwa kwa video za ngono za Baltasar Ebang ni minyukano ya kisiasa ya Equatorial Guinea kugombania madaraka!

Hata Saudi Arabia au Iran hawakatazi kujirekodi wakati unafanya ngono
Wawe wana kataza au hawakatazi hiyo sio hoja yangu ,hoja yangu ni kila nchi ina sheria zake zinazo iongoza ,kitu fulani kinaweza kuwa kosa ndani ya Tz lakini ndani ya kenya kikawa halali na kinyume chake acha kukalili.
 
Mi toka mwanzo nilijua, hizo video ni AI generated.
Hakuna cha Al wala mtoto wake na Al ,ww kama una mkeo au binti yako ana fanya kazi kwenye ofisi za uma jua ndo michezo yao hiyo kwa hiyo kaza moyo.
 
Noma sana!
 
aise ! wote washamba video unawekaje kwenye cm maaLum.....weka kwenye cm isiyofahamika chana godoro weka katikati .....
 
nilipoisoma nikakumbuka yale maneno ya either or na neither nor
 
Kama alikuwa mkurugenzi wa Taasis aliweza kufanya hayo. Akiwa Rais na Taifa lenyewe lina population ya 1.8m nawaonea huruma hiyo population. Ngoma itapigwa hadi vilongwe na under 18
Hio population ya 1.8 million ndogo sana, tuseme nusu ndio wanawake yaani laki tisa, wanawake watu wazima zaidi ya miaka 18 labda laki tatu, kati yao wanaoishi mjini elfu tisini, Kati yao wafanyakazi wa serikali elfu tatu, Kati yao aliowarekodi 400, asiowarekodi haijulikani. Unaweza Kuta kila familia kuna mama kaliwa na huyo jamaa
 
Mkuu ile video siyo ya mke wa baltasar ni dada mmoja wa only fans.Tena anatoka Marekani.Nachokubaliana nawe video za baltazar ni real Kwa 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…