Yahisiwa kuvujishwa kwa video za ngono za Baltasar Ebang ni minyukano ya kisiasa ya Equatorial Guinea kugombania madaraka!

Yahisiwa kuvujishwa kwa video za ngono za Baltasar Ebang ni minyukano ya kisiasa ya Equatorial Guinea kugombania madaraka!

Hata Saudi Arabia au Iran hawakatazi kujirekodi wakati unafanya ngono
Wawe wana kataza au hawakatazi hiyo sio hoja yangu ,hoja yangu ni kila nchi ina sheria zake zinazo iongoza ,kitu fulani kinaweza kuwa kosa ndani ya Tz lakini ndani ya kenya kikawa halali na kinyume chake acha kukalili.
 
Mi toka mwanzo nilijua, hizo video ni AI generated.
Hakuna cha Al wala mtoto wake na Al ,ww kama una mkeo au binti yako ana fanya kazi kwenye ofisi za uma jua ndo michezo yao hiyo kwa hiyo kaza moyo.
 
Vyovyote vile; la msingi hizo ngono alifanya au hakufanya? Kama alifanya, kwanini achukue video? Kama alichukua video, kwanini atunze kwenye laptop yake?

Kama hakufanya any of the above basi anaonewa. Ila kama alifanya any of them, ni mjinga asitake kuleta visingizio vya "mambo ya kisiasa". AlitakiwAlitakiwa ajue yote hayo kabla ya kufanya upuuzi aliofanya.
Noma sana!
 
aise ! wote washamba video unawekaje kwenye cm maaLum.....weka kwenye cm isiyofahamika chana godoro weka katikati .....
 
Inaripotiwa kwamba power struggle ya kumritithi dikteta mzee Teodoro Obiang Nguema wa Guinea mwenye miaka 82 aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 45 ndio chanzo cha kuvujishwa video za ngono za mpwa wake Baltasar Ebang.

Nadharia mojawapo ni makamu wa Rais wa Guinea ambaye ni mtoto wa Rais pia alisambaza video hizo ili kuwachafua watu ambao wanaonekana kotomuunga mkono katika harakati zake za kumrithi baba yake kwani anaonekana ni mtu muovu, mwendawazimu sana, fisadi mpenda kutumbua raha na asiyejua chochote kuhusu uongozi.

Baltasar Ebang ambaye ni mkuu wa idara ya kupambana na makosa ya kifedha na utakatishaji fedha nchini Guinea alikamatawa mwezi uliopitwa akapelekwa polisi alipowekwa rumande na akakabidhi simu zake kwa polisi, alipoachiliwa muda baadaye ndipo video zake za ngono zikavuja na kusambaa ambapo kati ya wanawake waliohusika ni wake na watoto wa viongozi mashuhuri wa siasa na maafisa wa jeshi wa nchi hiyo

View attachment 3149291

Na hapo ndipo makamu wa rais Teodoro jr(mdogo) akatoka hadharani haraka kusema waliohusika wote wachukuliwe hatua za kinidhamu, ofisi zifungwe CCTV na pia mtandao udhibitiwe, huu unaonakena mpango wake mahususi kisiasa alioupangalia baada ya kuiona fursa ya Baltasar.


==================================================

What the rest of the world sees as a sex tape scandal could in fact be the latest episode in the real-life drama over who will become Equatorial Guinea’s next president.

Over the past fortnight, dozens of videos - estimates range from 150 to more than 400 - have been leaked of a senior civil servant having sex in his office and elsewhere with different women.

They have flooded social media, shocking and titillating people in the small central African country and beyond.
Many of the women filmed were wives and relatives of people close to the centre of power.

It appears some were aware they were being filmed having sex with Baltasar Ebang Mr Engonga, who is also known as “Bello” because of his good looks.

All this is hard to verify as Equatorial Guinea is a highly restricted society where a free press does not exist.
But one theory is that the leaks were a way to discredit the man at the centre of the storm.

Mr Engonga is a nephew of President Teodoro Obiang Nguema and one of those thought to be hoping to replace him.
Obiang is the world’s longest-serving president having been in power since 1979.

The 82-year-old has overseen an economic boom that has turned to bust as a result of the now-dwindling oil reserves.
There is a small, extremely wealthy elite, but many of the 1.7 million people in the country live in poverty.
Obiang’s administration is heavily criticised for its human rights record, including arbitrary killings and torture, according to a US government report.

It has also had its fair share of scandals - including the revelations about the lavish lifestyle of one of the president's sons, now vice-president, who once owned a $275,000 (£210,000) crystal-encrusted glove worn by Michael Jackson.

Despite regular elections, there is no real opposition in Equatorial Guinea as activists have been jailed and exiled and those with designs on office are closely monitored.

Source: BBC News
nilipoisoma nikakumbuka yale maneno ya either or na neither nor
 
Kama alikuwa mkurugenzi wa Taasis aliweza kufanya hayo. Akiwa Rais na Taifa lenyewe lina population ya 1.8m nawaonea huruma hiyo population. Ngoma itapigwa hadi vilongwe na under 18
Hio population ya 1.8 million ndogo sana, tuseme nusu ndio wanawake yaani laki tisa, wanawake watu wazima zaidi ya miaka 18 labda laki tatu, kati yao wanaoishi mjini elfu tisini, Kati yao wafanyakazi wa serikali elfu tatu, Kati yao aliowarekodi 400, asiowarekodi haijulikani. Unaweza Kuta kila familia kuna mama kaliwa na huyo jamaa
 
Sidhani kama ni teknolojia ndio imetengeneza zile video; video zile ni real kabisa; sababu ya kusema vile ni hi; why mkewe aamue nae kulipiza kisasi? Mkewe anayajua maumbile ya mumewe vizuri; again jamaa mwenyewe HAJAKANA, kasema kabisa kwamba yeye hana ugonjwa wowote wa STD's na kasema yeye hajafanya na mtoto mdogo, wote ni watu wazima na walikubaliana, AI inaingiaje hapo? Again why yule mama mwingine aliamua ku commit suicide? Na yule mwingine aliyeoneshwa video na mumewe? Mbona hakubisha? Tulio limefanyika, wapinzani wake kisiasa wakaitumia hiyo kama fursa
Mkuu ile video siyo ya mke wa baltasar ni dada mmoja wa only fans.Tena anatoka Marekani.Nachokubaliana nawe video za baltazar ni real Kwa 100
 
Back
Top Bottom